Wewe! Nikwambie? utachukia?

aduwilly

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2009
Posts
1,191
Reaction score
320
Msela mmoja alikuwa jela kwa muda mrefu sana, cku moja akaamua kumfata mwenzake mmoja mle mle ndani ya selo, na maongezi yao yakawa kama ifuatavyo;

Msela: Nikwambie?

Mwenzake: Nambie Nigga

Msela: Utachukia?

Mwenzake: unaanza kudata nini?

Msela: Naomba tiGO

Mwenzake: mi ntaitoa wapi sasa wakati wote tupo jela, labda umuombe afande akija ila sidhani kama anatumia tiGo kwani atakuwa na line ya airtel

Msela: Ila..

Mwenzake: Ila nini mkuu, upelekwe mirembe nini?
 
Nimekosea njia naelekea obama road

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Majibu yapo bana sio kila mwanamke ni malaya mwingine ana mmoja tuu kamboa akasepa yeye ndo wapili

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…