Wewe ni rika gani?

nasrimgambo

JF-Expert Member
Jan 10, 2017
1,858
2,348
1-5 watoto wadogo
5-10 watoto
11-15 young teenagers
16-19 elder teenagers
20-29 vijana wadogo
30-39 vijana wa kati
40-49 vijana rika la juu

50-59 middle age/ rika la makamo

60-69 wazee wadogo
70-79 wazee wa kati

80+ / na kuendelea - wazee rika la juu/ wakongwe
 
Hilo swali wapewe wafuatao;-
-UV-CCM,
-Wema Sepetu,
-Bongo movies wote.
Huwa wanakua kwa kurudi miaka ya nyuma tu.Wawe makini watakutana na miaka aliyozaliwa Masihi.😝😝😝😝
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom