Baadhi ya Misimu bora mwaka 2023 ya "Vijana wa Ovyo"

Undava King

JF-Expert Member
Aug 11, 2017
3,205
5,333
Tukiwa tunaelekea ukingoni kwa mwaka wa 2023 ni vyema tukijikumbusha baadhi ya misemo ambayo imetokea kufanya vizuri kimatumizi katika kusanifisha na kukuza misamiati katika lugha yetu pendwa ya kiswahili; hii hapa ni baadhi ya misimu hiyo kama unakumbuka mingine unaweza ongezea.

1. Maokoto
2. Maelekezo?
3. Tajiri?
4. Tulikaa kinyonge sana tajiri!
5. Limeisha hilo, Chap kidogo!
6. Mtoto amenielewa
7. Chawa
8. Chawa wa mama
9. Anaupiga mwingi
10. Harakati?
11. Jibane-bane
12. Kiko wapi sasa?
13. Au siyo?
14. Hii imeenda
15. Jichanganye muhimu maokoto
16. Mpira papatu-papatu
17. Mwaka robo
18. Matabulasa/tabulele
19. Jitafute
20. Nimejipata
21. We Zombi, haujui?
22. Na masimba simba simba dangote!
23. Ndo kusema
24. Imeisha hiyo
25. Memba wa upinde
26. Unaniachaje?
27. Jilipue tu
28. We jitoe ufahamu
29. Jikatae kama vipi
30. Huyo ni makolo mtupu
31. Huo ni uzwazwa
32. Acha umama
33. Madunduka
34. Kamatia zigo
35. Nimekusoma
36. Nijikute
37. Kujishongodoa
38. Sitaki shobo
39. Tutaharibiana hujue?
40. Upwiru
41. Kwiyo hiyo hiyo kwiyo!?
42. Jichange-change basi
43. Acha kugeza
44. Nambie/Sema kiongozi?
45. We ni kada
46. Wanakupakuwa si bure
47. Shikamoo pesa! Kweli umejua kuninyoosha
48. Mama tozo/tozonia
49. Tatizo ni trab! na trat!
50. Umezidi taarabu
51. Kumanisha nini?
52. Kamseleleko
53. Anapenda sana mteremko
54. Kuzagamua/mizagamuo
55. Miuno uzazi
56. Kila mtu hale kwa urefu wa kamba yake
57. Bichi koko/bichi kidimbwi
58. Jikoshe
59. Mishe?
60. Sisi ndiyo wale wa kusaidiwa na bwana
61. Sisi ndiyo wale tuko!
62. Ulichoagiza na kile ulicholetewa
63. Sisi ndiyo kusema
64. Ngumi pelesu-pelesu
65. Mwendo mkia wa ngiri
66. Kibati
67. Mzugaji
66. Sele
67. Za ndani ndani shekhe
68. Acha tantalila
69. Kisimu kimacho matatu
70. Koliti ya wachezaji
71. Tatizo mfumo
72. Kimemramba/kimewaramba
73. Utaambia nini watu
74. Wachana na bazenga dadii
75. Suka nilegezee
76. Na bado mpaka mseme
77. Finyia ndani
78. Amemfinya na kugawa pasi
79. Peleka moto
80. Wamecheza Sambaloketo/pira objectivu.
 
Back
Top Bottom