Wewe ni mwanamke wa aina gani?

Wewe ni mwanamke wa aina gani?

Kasiano Muyenzi

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2018
Posts
13,972
Reaction score
22,922
1. Mwanamke mpumbavu.
Huyu huwafundisha watoto wake kutomheshimu (wamdharau) baba yao.

2. Mwanamke mwenye hekima. Huyu huwafundisha watoto wake jinsi ya kumheshimu baba yao.

Je wewe ni mwanamke mpumbavu au ni mwanamke mwenye hekima?

Jitafakari.
 
Siku hizi hatusubiri mama zao wawafunze kutuheshimu, tupo kwenye malezi ya watoto wetu ili wao waone how responsible baba zao tupo. Hatutafuti kupendwa, tunatimiza majukumu yetu kama baba.
Natamani wanaume wote watimize majukumu yao ya ubaba kwa watoto wao.Watoto wao wajivunie kua wanababa
Nmechagua kua namba mbili,
Kama baba yake hatotaka tuwe familia,mwanangu sitompandikiza chuki natamani amjue baba yake na ukaribu wao ue mkubwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom