Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,723
- 126,573
Tuwe wakweli kabisa, ni kitu gani au jambo gani umekuwa mlevi nalo, kiasi kwamba haipiti hata dakika moja ushalitamka au kulishika na mara nyingine huwezi kufanya jambo fulani hadi hicho kitu ukihusishe kwa namna moja au nyingine.
Mimi binafsi ni mlevi wa hivi vitu.
1. Simu yangu(Smart phone)
2. JF.
Mimi binafsi ni mlevi wa hivi vitu.
1. Simu yangu(Smart phone)
2. JF.
MI MOVIES HATA NICHELEWE KURUDI HOME SAA 5 USIKU LAZIMA NI CHEKI MOVIE KIDOGO THEN NILALE.