Wewe ni mkali kwenye mchezo gani?

Wewe ni mkali kwenye mchezo gani?

Mimi Randy Orton Kiboko yako hehehehe.
Au AJ styles
Randy orton kwa John Cena ni mtoto mdogo tu, ona juzi randy kapigwa na Brock lesnar lakini mimi Joh Cena nilijishindia kiurahisi tu japo nilimpiga nyororo ya kichwa
 
Mimi mchezo wa kupigana kwa kutumia mawe au vipande vya tofali...mana miaka ya nyuma nilikuwa kamanda yoso..
 
Randy orton kwa John Cena ni mtoto mdogo tu, ona juzi randy kapigwa na Brock lesnar lakini mimi Joh Cena nilijishindia kiurahisi tu japo nilimpiga nyororo ya kichwa
Hahaha
lesnar ni mtu mwingine asee, bora alo pigwa naye

Sasa wewe umepigwa na AJ mech 3 mfululizo!! ebu Cena kajipange na wewe khaa!
 
1476613382187.jpg
 
Back
Top Bottom