agata edward
JF-Expert Member
- Nov 25, 2014
- 6,641
- 9,414
utatulia tu. namm nahakikisha huvurugi ila utalia kidogo na utakubali matokeo tu. Hivi unafikir kaz rahisi kunivurugia ndoa?
Ukiniletea vurugu zaidi nyumban utakumbana na vitasa
Ukishajijua wewe ni mchepuko hutakiwi kuwa na wivu hata kidogo, tambua umepewa hisani tu! Mambo ya kumfuatilia mtu wakati ushajua ana mtu wake wa permanent ya nini! Unampigia simu usiku wa manane ili iweje? Unapekua simu yake ili iweje?
Jiangalie!
Michepuko mingine kama utendaji ni bomba huweza kupewa bonge la promotion na kuwa nyumba kubwa, hili si jambo la ajabu.
yaani umekuja kunitoa huku lol!!!Wivu lazima niwe nao nikiona kuna michepuko mingine..lol ninavyopenda competition mbona nitaharibu..am jus joking..
kama ulikuwa hutaki ndoa yako ivurugike ungekituliza
Ukishajijua wewe ni mchepuko hutakiwi kuwa na wivu hata kidogo, tambua umepewa hisani tu! Mambo ya kumfuatilia mtu wakati ushajua ana mtu wake wa permanent ya nini! Unampigia simu usiku wa manane ili iweje? Unapekua simu yake ili iweje?
Jiangalie!
Ukishajijua wewe ni mchepuko hutakiwi kuwa na wivu hata kidogo, tambua umepewa hisani tu! Mambo ya kumfuatilia mtu wakati ushajua ana mtu wake wa permanent ya nini! Unampigia simu usiku wa manane ili iweje? Unapekua simu yake ili iweje?
Jiangalie!
Ili kukwepa hayo tafuta anayechepuka kama ww wote muwe mnachepuka hakuna karaha kabisa.
jf raha sana. jf never die.Kama ungekuwa unalijua hilo wala usingemtongoza. Nao ni wanawake kama huyo mkeo, wana roho ya kupenda na wivu kama mkeo. Ukitulia na mkeo sidhani kama shida hizi zitakukuta.