Wewe ni Graduate? Pitia hapa

Wewe ni Graduate? Pitia hapa

Sure !! But atleast umeonesha umeonesha upambanaji. Tofauti na Graduate anayesubiria Ajira Portal. Naamini kuna wadau kupitia huu uzi wanaweza kutoa nafasi mbalimbali au wakakushika mkono. Naamini baada yq miaka kadhaa tutakuja kutoa ushuhuda
Mwaka huu mwezi wa saba ndo nahitimu kaka! Naamini ntafanya jambo kwenye IT ntapata kuendesha maisha
 
Mkuu utafika mbali sana .kama bado hauja graduate na umeshaanza mapambano kuja wana wame graduate 2013 mpka leo wametulia wanasikilizia Serikali.
Big up sana.
 
Vijana wengi wana pottential ila namna ya kuanza.Kuvumilia msoto sio kitoto.
Pia nikaja kujifunza kuwa wengi licha ya kuwa na ideas wengi tunakosa kujiamini.
Yan unajikataa mwenyewe hata kabla wengine hawajakukataa .Courage to believe in yourself.

Sasa no body can believe you if dont believe ni your self.
so you should always learn to convince yourself first kwamba what u have is valuable.

MPaka leo nakajifunza to talk to me about my idea.Nikiwa na watu where possible i introduce my idea .Ujue we are too much afraid of ambarrasment hili pia ni tatizo.

But ukwel ninkwamba unless you talk about what you can do , no body else will do that for you.So you should always the first to make a move .
WApo watu wana subiri wakutane na wewe na kuna kipind inafika katika kuzungumza na wateja they be like "where were you all this time we have been waiting for something like this"?

Chief itabidi uandike UZI mzuri wa kuwa motivate vijana . Wape mbinu mbalimbali na ujuzi wa namna ya kutambua potential waliyonayo. Utawakomboa wengi sana .
 
Chief itabidi uandike UZI mzuri wa kuwa motivate vijana . Wape mbinu mbalimbali na ujuzi wa namna ya kutambua potential waliyonayo. Utawakomboa wengi sana .
Sema hapo kwenye kuandika ndio mimi naonaga kipengelea.Nimezoea hiz za kudandia uzi juu kwa juu 😅😅😅
 
Back
Top Bottom