Wewe ni Graduate? Pitia hapa

Wewe ni Graduate? Pitia hapa

Nlifanya field ya kwanza kwenye taasisi Moja baada ya ule mda kwisha nliendelea na majukumu, mkuu wa ile taasisi akanambia utapata chochote siku unarudi chuo, mwisho wa siku hakunipa chochote akanambia ukitaka malipo mwaka wa pili urudi hapa na wenzako wawili au watatu!
Pia alinambia niandike barua za malipo nikatii maagizo lkn wapi .....

Mwaka wa pili nlienda halmashaur X majukumu nliyokua napewa mambo hayakua ya IT kbs hata kidogo yaan kila siku ni kupanga na kupangua mafaili nkafanya maarifa nkapata muhuri na assessment ikafanyika nkasepa pale nkaenda taasis Moja kujitolea huko aiseee nusu nife njaa, ndo nkaona bora nkajitose mtaani

Pole sana kaka !
 
The same to me ! Najua changamoto ya hizi course bila kujitolea walau mwaka mmoja hutoboi
Mara nying kwenye hiz kozi wengi wana idea nying tuu na nzuri sana sema sasa wengi unakuta hatukujengwa katika namna ya ku convert idea to become business.But trust me kuwa tu na technical know how does not help that much labda kama utapata ajira..
 
Kuna njia nyingi ambazo kijana aliyemaliza chuo anaweza kuongeza kipato chake. Hapa chini nimeorodhesha baadhi ya njia hizo:

Kuanzisha biashara yako: Unaweza kufikiria kuanzisha biashara yako ya mtandaoni au ya nje ya mtandao. Kujenga biashara inayotumia ujuzi wako wa kielimu au hata ubunifu wako unaweza kuwa fursa nzuri ya kukuza kipato chako.

Kuajiriwa: Unaweza kutafuta kazi katika eneo lako la utaalamu na kuajiriwa na kampuni au shirika. Tafuta kazi inayolingana na utaalamu wako na ambayo inakupa fursa ya kujifunza zaidi na kukuza ujuzi wako.

Kufanya kazi za kujitegemea: Unaweza kujiunga na majukwaa ya kazi za kujitegemea kama vile Upwork, Fiverr, au Freelancer na kutumia ujuzi wako kufanya kazi mbalimbali kwa wateja ulimwenguni.

Kufanya kazi za kujitolea: Unaweza kutumia muda wako wa ziada kufanya kazi za kujitolea katika mashirika ya kijamii au misaada. Hii inakupa fursa ya kuonyesha ujuzi wako na kujenga mtandao wako wa kijamii.

Kuendelea kusoma: Unaweza kuendelea kujifunza na kuongeza ujuzi wako kupitia kozi za mtandaoni au mafunzo. Kupata ujuzi zaidi unaweza kuongeza fursa yako ya kupata kazi bora au hata kuanzisha biashara yako.

Kuwekeza: Unaweza kuwekeza katika biashara au hisa. Hii inaweza kusaidia kuongeza kipato chako kwa muda mrefu, lakini unapaswa kuzingatia hatari za uwekezaji na kufanya uchaguzi wa busara.

Kumbuka, hakuna njia moja sahihi ya kuongeza kipato chako. Unapaswa kuzingatia ujuzi wako, maslahi yako, na rasilimali zako zilizopo ili kupata njia inayofaa kwa
 
The same to me ! Najua changamoto ya hizi course bila kujitolea walau mwaka mmoja hutoboi
Mambo ni magumu unajikuta unadondokea kufanya hizi kazi ambazo ni technical bases za kawaida, Kuna kipindi unakosa ramani kbs huna hata hela ya kula watu hawakuamini hasa maeneo ambayo uelewa wa watu ni mdogo nakumbuka 2021 mwanzon nlikuwa nafanya kufungulia watu account ajira portal nachaji 10k mpaka 15k unamfungulia mtu account unamuombea nafasi ya kazi akikosa anahis kama hujui kuomba🤣
 
Mara nying kwenye hiz kozi wengi wana idea nying tuu na nzuri sana sema sasa wengi unakuta hatukujengwa katika namna ya ku convert idea to become business.But trust me kuwa tu na technical know how does help labda kama utapata ajira..

I think vijana wawili au watatu wa IT wakijiunga na kijana mmoja wa bussiness aliye major kwenye marketing wanaweza kuunda kampuni ndogo ambayo kazi yake itakuwa ku solve IT issues kwenye ofisi mbalimbali. Kwa kuanza IT you dont need much capital cha zaidi ni kuwa na skills tu. Nchi yetu hii IT personel ni wachache sana na service nyingi tuna outsource .
 
Mambo ni magumu unajikuta unadondokea kufanya hizi kazi ambazo ni technical bases za kawaida, Kuna kipindi unakosa ramani kbs huna hata hela ya kula watu hawakuamini hasa maeneo ambayo uelewa wa watu ni mdogo nakumbuka 2021 mwanzon nlikuwa nafanya kufungulia watu account ajira portal nachaji 10k mpaka 15k unamfungulia mtu account unamuombea nafasi ya kazi akikosa anahis kama hujui kuomba

Changamoto kazini
 
Sure hizi ni fursa . Ndio maana licha ya kusoma IT lakini kuna mambo ya Entrepreneurship na issues za Bussiness
 
Halmashauri nyingi ziko nyuma sana kwenye IT bado wanatumia mifumo ya kizamani. Born before computer.
Unaweza kuta computer ipo kwa Ps wa boss tu.
Hata wafanyakazi wa halmashaur bado uelewa wao ni changamoto hawapo radhi kuendana na mabadiliko unakuta ofisini software nyingi zinazotumika ni za zamani secretary anatumia window 7, Ms 2007 mifumo ya network tangu iwe installed hamna Cha maintainance
 
I think vijana wawili au watatu wa IT wakijiunga na kijana mmoja wa bussiness aliye major kwenye marketing wanaweza kuunda kampuni ndogo ambayo kazi yake itakuwa ku solve IT issues kwenye ofisi mbalimbali. Kwa kuanza IT you dont need much capital cha zaidi ni kuwa na skills tu.
Yah ni kwel na hiki ndio wanakosa wengi.
Mimi i ddnt wait tuwe wawil wala business guy.. i started alone..and l did learn a business language. Marketing skills and sales..nilijifunza hard way na kwa makosa mengi but i persisted maana nilijisoma kama nina vitu vingi sana that i can offer but ugum ni namna ya kuvi present kibiashara mtu akuelewe hili ndio tatizo tulilo nalo wengi sana.. u cant believe nikiwa alone nikafanikiwa ku convince taasis kama 9 alone.. huwajui hawakujui but the business talk just makes you partners..

Technical mimi
Marketing mimi
Sales mimi
Suport mimi
Customer care mimi

Everyrhing mim lakin kwakua hakuna namna i did it alone and it was doable japo una toil sanaa vijana ukiomba wajitolee na wewe wanakuambia utatulipa nini??

Wakat hapo wewe clients wengine u give the service for free ili tu kujenga trust baadae huko ndio unakuta wanaanza kukulipa service charge as per agreements

So dont wait..usigope kuwa alone...gud people wataku join mbele ya safar hukoooo ukiwa tayar unaijua buznes yako nje ndani.ukiajiri unajua anaajir kwa ajil ya nini.
 
Yah ni kwel na hiki ndio wanakosa wengi.
Mimi i ddnt wait tuwe wawil wala business guy.. i started alone..and l did learn a business language. Marketing skills and sales..nilijifunza hard way na kwa makosa mengi but i persisted maana nilijisoma kama nina vitu vingi sana that i can offer but ugum ni namna ya kuvi present kibiashara mtu akuelewe hili ndio tatiO tulilo nalo wengi sana.. u cant believe nikiwa alone nikafanikiwa ku convince taasis kama 9 alone.. huwajui hawakujui but the business talk just make you partners..

Technical mimi
Marketing mimi
Sales mimi
Suport mimi
Customer care mimi

Everyrhing mim lakin kwakua hakuna namna i did it alone and it was doable japo una toil sanaa vijana ukiomba wajitolee na wewe wanakuambia utatulipa nini??

Wakat hapo wewe clients wengine u guve the software for free ili tu kujenga trust baadae huko ndio unakuta wanaanza kukulipa.

So dont wait..usigope kuwa alone...gud people watakubjoin mbele ya safar hukoooo

Thats Great mkuu! Natamani watu wote waje wasome hii comment kuna jambo hapa mhimu sana watajifunza
 
Hata wafanyakazi wa halmashaur bado uelewa wao ni changamoto hawapo radhi kuendana na mabadiliko unakuta ofisini software nyingi zinazotumika ni za zamani secretary anatumia window 7, Ms 2007 mifumo ya network tangu iwe installed hamna Cha maintainance

Sasa hapo ndio fursa mkuu! Unakwenda kwa mkuu wa kitengo ! Unampa athari za kutumia outdated software lakini unampa wayforwad sikumoja moja unawapa training ya computer unafanya maintanance kidogo watakuamini tu Mimi nilikuwa mjanja sana fursa kama hizi nilikuwa nakomesha
 
I think vijana wawili au watatu wa IT wakijiunga na kijana mmoja wa bussiness aliye major kwenye marketing wanaweza kuunda kampuni ndogo ambayo kazi yake itakuwa ku solve IT issues kwenye ofisi mbalimbali. Kwa kuanza IT you dont need much capital cha zaidi ni kuwa na skills tu. Nchi yetu hii IT personel ni wachache sana na service nyingi tuna outsource .
😁 Issue ni kuaminika kaka kujenga Imani hadi watu wakuamini inachukua mda sana, naongea kwa uzoefu!
Baada ya kujifunza java tukaungana watatu wawili wanatengeneza desktop app Mimi natafuta masoko unakuta watu wanahitaji lkn wanakua na wasi wasi, unaenda pharmacy wanakwambia wanahitaji unakusanya data ukishamaliza ukiomba advance ni kosa 🤣🤣unakaa kimya, ukimaliza ndo utapata Hela na venye hawatoi kama mlivokubaliana kama mlikubaliana 300k ukipata 200k shukuru Mungu kimbia usigeuke nyuma
 
Issue ni kuaminika kaka kujenga Imani hadi watu wakuamini inachukua mda sana, naongea kwa uzoefu!
Baada ya kujifunza java tukaungana watatu wawili wanatengeneza desktop app Mimi natafuta masoko unakuta watu wanahitaji lkn wanakua na wasi wasi, unaenda pharmacy wanakwambia wanahitaji unakusanya data ukishamaliza ukiomba advance ni kosa unakaa kimya, ukimaliza ndo utapata Hela na venye hawatoi kama mlivokubaliana kama mlikubaliana 300k ukipata 200k shukuru Mungu kimbia usigeuke nyuma

Sure !! But atleast umeonesha umeonesha upambanaji. Tofauti na Graduate anayesubiria Ajira Portal. Naamini kuna wadau kupitia huu uzi wanaweza kutoa nafasi mbalimbali au wakakushika mkono. Naamini baada yq miaka kadhaa tutakuja kutoa ushuhuda
 
Sasa hapo ndio fursa mkuu! Unakwenda kwa mkuu wa kitengo ! Unampa athari za kutumia outdated software lakini unampa wayforwad sikumoja moja unawapa training ya computer unafanya maintanance kidogo watakuamini tu Mimi nilikuwa mjanja sana fursa kama hizi nilikuwa nakomesha
Urasimu ndugu yangu!
Kitu kama hicho unaweza ukakifanya kwenye makampuni binafsi watakuelewa vzr ila halmashauri itakua uongo mteule maana wao ufanisi wa miundombinu ya kiIT sio kipaumbele kwao
 
Thats Great mkuu! Natamani watu wote waje wasome hii comment kuna jambo hapa mhimu sana watajifunza
Vijana wengi wana pottential ila namna ya kuanza.Kuvumilia msoto sio kitoto.
Pia nikaja kujifunza kuwa wengi licha ya kuwa na ideas wengi tunakosa kujiamini.
Yan unajikataa mwenyewe hata kabla wengine hawajakukataa 😅.Courage to believe in yourself.

Sasa no body can believe you if dont believe ni your self.
so you should always learn to convince yourself first kwamba what u have is valuable.

MPaka leo nakajifunza to talk to me about my idea.Nikiwa na watu where possible i introduce my idea .Ujue we are too much afraid of ambarrasment hili pia ni tatizo.

But ukwel ninkwamba unless you talk about what you can do , no body else will do that for you.So you should always be the first to make a move .
WApo watu wana subiri wakutane na wewe na kuna kipind inafika katika kuzungumza na wateja they be like "where were you all this time we have been waiting for something like this"?
 
Back
Top Bottom