Wewe najua unamuogopa Yeye Anamla.

du!!umenikumbusha mbali sana...hivi hawa walimu walikuwa wanasahau kuita hadi inapita siku!...nipo, ...jana na leo!!

walikuwa watolo au siku mshahara ukitoka awaji siku nzima wakija ndo unasikia nikikuita jina itika jana na leo kama ulikuepo ha!ha!
 
walikuwa watolo au siku mshahara ukitoka awaji siku nzima wakija ndo unasikia nikikuita jina itika jana na leo kama ulikuepo ha!ha!
namkumbuka mwalimu mmoja yeye alikuwa analimbikiza basi akija utasiki NAPITA...zote!du ilikuwa ina sound vizuri sana kwa kisukuma utasikia NAPITA...sote
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…