Wewe Mwizi wa iPhone

Wewe Mwizi wa iPhone

Bijou

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2011
Posts
1,249
Reaction score
360
Wewe mtu uliyeiba simu yangu iPhone 5, KATIKA ofisi Fulani, tafadhali irudishe pale ulipoiiba, maana hadi Leo inasomeka imefungwa, huwezi kuitumia asilani. Ina password YA simu NA Apple ID, sasa unavyobaki nayo unapata Faida gani? Basi Ghadhabu ZA Mwenyezi Mungu NA zikushukie, kila mali YAKO halali utakayopata, itakupotea pasi kujua hadi hapo utakapoirudisha. Nitafunga NA kuomba KWA ajili yako, shwain mkubwa wee.
 
Pole Mkuu watu wengine wana uhasidi wa nyoka.. Na iyo dua unayoomba yatamkuta makubwa ajue chozi la mwenye kudhulumiwa halipotei..
 
Pole Mkuu watu wengine wana uhasidi wa nyoka.. Na iyo dua unayoomba yatamkuta makubwa ajue chozi la mwenye kudhulumiwa halipotei..


Amina Mkuu, NA nilinunua KWA hela halali YA jasho langu HAKUNA chembe YA escrow, imeniuma sana
 
Huyo "Mwisi" na mimi namuombea siku zake arobaini zifike mapema kabla ya mwaka mpya ili asije iba na kura zetu za hasira dhidi ya "Mafisadi".
 
Huyo "Mwisi" na mimi namuombea siku zake arobaini zifike mapema kabla ya mwaka mpya ili asije iba na kura zetu za hasira dhidi ya "Mafisadi".
Huyo Mwisi lazima atakuwa Mwanachama hai wa CCM kwasababu wao ndio wanatisha kwa mambo hizi za kukwapua
 
Amina Mkuu, NA nilinunua KWA hela halali YA jasho langu HAKUNA chembe YA escrow, imeniuma sana

pole na kuibiwa asante sana umenipa faraja nilikua na huzuni nimecheka na ESCROW
 
Ungetoa dead line c unajua watanzania tuna be influenced na dead line
 
Wakati mwingine kuweka malock kunafanya ugumu kuipata simu yao
Next time ukiwa ma simu kama iphone wala usiweke lock wakati wa kuwasha na kuzima ili mwizi aitumie upate kumtrace na kumkamata
Hata weza kufanya factory rest maana hana Apple Id, atajifariji kuitumia hapo ndio utamdaka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom