Wewe mwanaume, mwanamke siyo ndugu yako!

Wewe mwanaume, mwanamke siyo ndugu yako!

Mke akiwa ndugu yako anapoteza sifa ya kuwa mke, huwezi kumuoa ndugu yako.

Suala la kuumizana halina undugu wala mambo ya mme na mke. Inategemea na nani anafanya hivyo, anamalengo gani na kwa nini?
 
Ni kweli unachosema mpaka utapokuwa mwanaume habri hii utaipa maana nyingine kwa sasa nenda nayo tu
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli mke wako siyo ndugu bali ni zaidi yandugu,
Kama huamini na wewe ni mtu mzima kavue nguo mbele ya ndugu yako awe wa kiume au wa kike uone cha moto.
namaanisha uvue zote,siyo za juu juu tu.
Hapo ndo utajua mke ni zaidi ya ndugu.
 
Hahahahahahaha the more you hate women the more you realize how helpless u are!
Poyeeeeeeeeee
 
mwanamke si ndugu yako bt sio kwa fact ya kusema wanakutenda au kutoumia upatapo tatzo .
Ila ni kuwa uhusiano ambao unaweza kuvunjika si udugu bali ni urafiki
 
Mkuu nimekukumbuka sana mkuu

Umepotelea wapi mkuu?

Karibu hapa kwani nazihitaji sana busara zako: https://www.jamiiforums.com/dini-im...a-kanisa-katoliku-kuwa-sio-mpinga-kristo.html

Kama huna access tafadhali m-PM Invisible akupe access mkuu!

Nipo ndugu yangu, sema hivi karibuni mambo yamebana palikua na majukumu yaliyokua yanahitaji kupata muda kidogo.
Ntaufuatilia huo uzi ili tuendelee kuapa elimu mkuu. Ubarikiwe sana.

Tunajifunza wote, unaposoma hili na lile ndivyo tunavyoongeza maarifa na kujifunza zaidi. Endelea kutoa darasa mkuu.
 
Back
Top Bottom