Wewe mwanamke Mungu anakuona

Uwe unafikiria kabla yakutenda tena kwakutumia kichwa chenye macho mawili sio jicho moja. Hapo house girl umemwalibia na huyo dent wewe mwenyewe pia kifupi umenyea kambi pole. Rudi kaombe radhi.
 
kwani alikuwa na ufunguo wa mrango wako mbaka abadilishe makufuri bila kukwambia wewe?
 
Hivi genye zako ni za kuku? Kama girlfriend anarudi once a week, kulikuwa na haja ya kutafuta mwingine tena house girl wao? Umejivunjia heshima wewe mwenyewe na umemvunjia heshima girlfriend wako pia.
Weeee,acha hizo,,,,,mimi napenda kupiga kila siku,,,hasa akiwa mwemba,mbinuko na soft kila nikimuona natakaaa
 
Hatari vijana wasikuizi roho zenu hazija kinai kabisaaaaaaaaaaaaaa...
 
kwani alikuwa na ufunguo wa mrango wako mbaka abadilishe makufuri bila kukwambia wewe?
Yani cjui kafanyaje kwa izo taarifa nimepewa na mpangaji mwenzangu atakua kavunja labda
 
Weeee,acha hizo,,,,,mimi napenda kupiga kila siku,,,hasa akiwa mwemba,mbinuko na soft kila nikimuona natakaaa
Basi atafute mke aoe, hata kama ni genye jamani si haouse girl nyumbani kwa babe wako.
 
Hivi Dar kuna nyumba za Kupanga zinazotumia Makufuli bado? Duh mbona hiyo ni hatari sana,alafu uyo Beki 3 si kaja juzi tu Huyo bwana wa kinondoni kampata wapi? Kweli sio wote wanaokuja mjini wanakuja kufanya kazi, wengine wanawafata ma bwana zao kinondoni, basi Mkuu rudi tu nyumbani ukalianzishe na lako..!
 
Aliwai kufanya kazi kinondoni kabla ya kurudi shamba iyo nyumba niliweka mm mfumo ea makufuli kwa sabab ni imara zaid kuliko vitasa maana nilikuwa naingia short kila cku kubadil vitasa
 
Basi atafute mke aoe, hata kama ni genye jamani si haouse girl nyumbani kwa babe wako.
Mke anaweza asimsaidie,siku hizi wengine wanakupangia ratiba,kwa mfano,jumatatu sikupi,jumanne naumwa,jumatano nakupa ,alhamis sikupi,ijumaa nakupa,jumamos na jumapili nitakuwa kwa mama.
 
Mke anaweza asimsaidie,siju hizi wengine wanakupangia ratiba,kwa mfano,jumatatu sikupi,jumanne naumwa,jumatano nakupa ,alhamis sikupi,ijumaa nakupa,jumamos na jumapili nitakuwa kwa mama.
Hapo sasa aliyeolewa ni nani? Kwani ulimuoa aje apashe joto kitanda chako?
 
Mwanaume hakimbii matatzo hvyo wew rud
 
We nenda tu ukasikilizie mzee anasemaje ,mbona kesi yako ndogo sana hiyo
 
Mmmh hapana kwa kweli huu ushaur sio aisee
Nimesema hivyo kwasababu inaonekana moyo wako umeridhika kwa beki tatu kuliko huyo gf wako,hivyo utakuwa unaumia tuu na lazima utaendelea kumuhangaikia hyo bek tatu,sasa bora utumie kanuni ya kula chira,maana imesemwa,ukitaka kula chura chagua aliyenona.Inaonekana li moyo wako limemdondokea house girl,follow your heart and take your brain with you.
 
Hapo sasa aliyeolewa ni nani? Kwani ulimuoa aje apashe joto kitanda chako?
Siku hiz wanaolewa tu kwa sababu mbalimbali,kuna anayetaka aonekane kweny mimbali,mwingine ajenge heshma mtaani,mwingine aondoe mkosi,mwingine awafurahishe wazazi,mwingine apate mtumwa wakumpelekesha,mwingine apate dudu la uhakika,mwingine afata upepo,mwingine kujenga familia na mwingine apate wa kumchuna pesa.Unakuta mwingine kaolewa halafu yuko radhi mumewe apige masterbation na yy yupo na haoni tatizo.Atakwambia amechoka au anazuga ypo bizy jikoni,bafun au bustanini,au na mashost ilimrad askupe tuuu.
 
Kanunue Makufi Solex Kapigilie Kwenye Mlango Wa Mwenye Nyumba Wako.
Halafu Endelea Na Misele Mitaani.
Utaleta Mrejesho Hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…