Iyo ndio hali halisi kama hutaki we jeuliUmeongea kama Mpanga riziki vile
Sawa ndio uhalisia ila wanasaidikaje sasa zaidi ya kuwanangaIyo ndio hali halisi kama hutaki we jeuli
Kusaidika nikujiongeza kisaikolojia na kuchakata ubongoSawa ndio uhalisia ila wanasaidikaje sasa zaidi ya kuwananga
Na usipo kufa na dunia isipo pita?Unapewa boom Et unatunza unasema maisha magumu baada ya chuo,
Ukifa je, kula boom wewe, kula pesa, kula totos mpaka kieleweke dunian tunapita
Kivipi Yaani hebu funguka ..ili tufaidike na ushauri wakoKusaidika nikujiongeza kisaikolojia na kuchakata ubongo
Kwani hela ni boom tu?, money is in the air kazi kwako tuNa usipo kufa na dunia isipo pita ?