Wewe mwana JF una taaluma gani?

Wewe mwana JF una taaluma gani?

Shahada ya gani?, rekebisha hapo ndo raia wasikujaj, vinginevyo too much viroba already in the kichwa.
 
Tuambie uko wapi kwanza, maana swali limekuja kavu mno, ukizingatia leo weekend!
 
Mzee wa loliondo, ni dhana na mantiki ya hoja yako, wanajamii forum wana shahada yakinifu zenye dhana ya kuwafanya wawe wapembuzi yakinifu, huku wakiongozwa na utatu uliokamilifu yaani BUSARA , HEKIMA na MATENDO.
 
Jamani nimemaanisha kama umesoma ngazi ya shahada, je umesomea fani gani?
 
Mimi nina shahada ya uchumi sina ya Gani! Hio gani ni fani mpya imeanzishwa nini? Inahusiana na nini na vyuo gani vinatoa hiyo shahada ya gani?
 
Mkuu JF ni ya wote waliosoma na wasiosoma,swali lako la ubaguzi haujawaona wasio na degree kwenye nyuzi za tcu? Mie nina shahada ya uzamili katika uzamivu.
 
Mkuu JF ni ya wote waliosoma na wasiosoma,swali lako la ubaguzi haujawaona wasio na degree kwenye nyuzi za tcu? Mie nina shahada ya uzamili katika uzamivu.

Samahani mkuu,
Niwie radhi kwa maana hakika kusudi langu halikua ubaguzi bali nilitaka tu kujua taaluma za wanaJF mbal mbal. Niwie radhi!
 
Back
Top Bottom