julaibibi
JF-Expert Member
- Jun 16, 2020
- 3,341
- 4,572
- Thread starter
- #21
jana namwambia mama yangu.twende mim naijua hii ni muda nilipanda nzuri.tena anaye zi manage ni kijana saf kabisa mtu wa dini.Cha kushangaza sasa Boss wao na aliyemweka hapo huyo ( huyu ) Popoma ni Muungwana, Mnyenyekevu na Mkarimu hakuna mfano halafu Kwake hana Msamiati wa Roho Mbaya na Uchoyo.
ushauri.
afumue customer care yote a train vijana na ikibid aweke watoto wa kike iwe kama emporwement
