mamamzungu
JF-Expert Member
- Nov 17, 2019
- 2,650
- 4,481
- Thread starter
-
- #81
πππ uongooNipo naye hapa anasema harudiagi matapishi
nimeacha kumtag makusudi,kikubwa asome ili ajue najiskiaje wakati huuππππππ
Anacheka tu,mbavu hanaπππ uongoo
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£ nitakua bado sijazeekasasa nikimaliza ujana wangu wewe si utakuwa unaingia kwenye ubibi wako?
Mwwmbie aje nimzalie katoto kamojaπ€£Anacheka tu,mbavu hana
Sawaaiyee haya amekuskia
HapanaπMukaka ndo alikuja inbox baada ya kuleta uzi wa kufiwa na mchumba ako?
Amesema hana shida na mtoto coz ameshawapata wawili na sasa hivi mpenzi wake ana mimba ya miezi6Mwwmbie aje nimzalie katoto kamojaπ€£
Mwambie mimi ndio nataka copy yake ππAmesema hana shida na mtoto coz ameshawapata wawili na sasa hivi mpenzi wake ana mimba ya miezi6
Heeeeee ni fashion mpya hiyo jmnπ Tatizo mama mzungu ZIVU(Geuza hizo herufi) lako lina mvi πnaogopa mie mtoto wa mwanamke mwenzio nyoa Basi
πΉπΉπΉ Mtaje basi mahiUmenikumbusha yule kaka wa humu nilikuwa nampenda wakati ule π₯
Kasema subiri mwaka 2050Mwambie mimi ndio nataka copy yake ππ
Huwa wanawake mko hivyoSio Kama hivyo ni vitu vinginee tu mkuuβ¦ I was overthinkingβ¦
Tutakuwa tumekufaKasema subiri mwaka 2050
Ndio tumeumbwa hivyoHuwa wanawake mko hivyo