mamamzungu
JF-Expert Member
- Nov 17, 2019
- 2,650
- 4,481
- Thread starter
-
- #61
Usinifanyie hivyo nampenda yeye jmn..๐๐awapi ulitaka kumchezea akasanuka!!. Mwamba kazia hapo hapo.
Hehehe!!!Salaam nyingi kwenu wana jfโฆ niliwamiss sana humu ndani
Leo bhn nimeleta confession yangu juu ya huyu Kijana nilikutana nae humu jf..
Nichukue nafasi Hii kukushukuru sana kwa kuwa na mimi katika kipindi kigumu nilichopitia.. pamoja na madhaifu yangu uliweza kunivumilia hivyohivyo.
Mara ya kwanza sikuwa na feelingโs zozote kwako.. ilikuwa nataka tu pa kupumzisha moyo ila at the end unanifanya nikakupenda kiukweli ukweli ( wanawake huwa inachukua muda mrefu kumpenda mwanaume)
Ila umeniangusha mno wakati mimi ndio nazama kwako wewe ukaibuka ukaacha tena kunipenda..
Nataka nikwambie nakumiss sana na nakupendaa sana.. Kama itatokea Mungu akasema nichague mwanaume wa kuwa nae ningekuchagua wewe mara 100
Nakusubirii umalize ujana tuwe wote pamoja
Happy valentineโs my dear Kaka mnyakyusa
Itโs me your Brinn ๐
๐ณ๐ณโฆ ni mnyakyusa jmn ๐Angekuwa MPARE ningedhani ni mimi mamamzungu kanidondokea๐๐View attachment 3237023
Nini ๐ฅนHehehe!!!
Mwanangu viatu vya Eric havivaliki๐sijui alikua anaishije na huyu mshangaziMpaji Mungu kaka umepasua Moyo wa mtu
Ndoo baaaasiii ndo basi tena!Nini ๐ฅน
Sio Kama hivyo ni vitu vinginee tu mkuuโฆ I was overthinkingโฆHii ni nature mwanaume akipenda sana ukawa humpendi, Iko siku ataamua kuachana na wewe. Siku akikata tamaa ndio wewe mapenzi yanarudi. Nakuhakikishia hata kama atarudi upending hautakuea kama wa mwanzo. Na kama ameshakuka utekezi chance ya kurudi ni ndogo. Kama hajapiga basi atarudi kupiga tu then asepe
What ๐ณ๐ณMwanangu viatu vya Eric havivaliki๐sijui alikua anaishije na huyu mshangazi
Sijui nimtag๐๐๐๐ Watu wema wapo humu japo ni ngumu kuwafahamu.. huyu niliekutana nae ni very very good man issue ni bado ana ujana tu ๐
๐คฃ๐คฃ๐คฃNdoo baaaasiii ndo basi tena!
Haunipaaaatiii......
MtaggSijui nimtag๐
Asante sana ntakurudia tu kwa sasa nimepata mshangazi mwingine wa Tiharahei lakini ntarudi kaaa hapo hapo๐คฃSalaam nyingi kwenu wana jfโฆ niliwamiss sana humu ndani
Leo bhn nimeleta confession yangu juu ya huyu Kijana nilikutana nae humu jf..
Nichukue nafasi Hii kukushukuru sana kwa kuwa na mimi katika kipindi kigumu nilichopitia.. pamoja na madhaifu yangu uliweza kunivumilia hivyohivyo.
Mara ya kwanza sikuwa na feelingโs zozote kwako.. ilikuwa nataka tu pa kupumzisha moyo ila at the end unanifanya nikakupenda kiukweli ukweli ( wanawake huwa inachukua muda mrefu kumpenda mwanaume)
Ila umeniangusha mno wakati mimi ndio nazama kwako wewe ukaibuka ukaacha tena kunipenda..
Nataka nikwambie nakumiss sana na nakupendaa sana.. Kama itatokea Mungu akasema nichague mwanaume wa kuwa nae ningekuchagua wewe mara 100
Nakusubirii umalize ujana tuwe wote pamoja
Happy valentineโs my dear Kaka mnyakyusa
Itโs me your Brinn ๐
MmmhMpaji Mungu kaka umepasua Moyo wa mtu
๐๐๐๐๐๐mbona unafanya tuanze kuwamiss na wakwetu,anyway baba T nimekumiss sana mwenzio,please come home darling
๐๐๐๐ duuhAsante sana ntakurudia tu kwa sasa nimepata mshangazi mwingine wa Tiharahei lakini ntarudi kaaa hapo hapo๐คฃ
Nipo naye hapa anasema harudiagi matapishiUsinifanyie hivyo nampenda yeye jmn..
MmhNipo hapa tayari...๐คจ
Sulutani Khafidh unamegea gizani Kaka๐Mwanangu viatu vya Eric havivaliki๐sijui alikua anaishije na huyu mshangazi