mamamzungu
JF-Expert Member
- Nov 17, 2019
- 2,650
- 4,480
😂😂😂😂😂😂🙌🏻
😆😆😆😆😆Mtego
😀😀😀 atajitagg mwenyeweungemtag ingekuwa poa.
😂😂 llaNajuaa umenipenda kisaa nilikuwa mtoaji sana kwako ,ss nimesanuka nimegundua na deal na chuma uleteee...
Pole Kwa kunimic
Labda kama una ID mbili 😂Sijui ni Mimi?
Anyway salamu zimepokelewa.
Oohngoja kwanza niwasiliane na advocate wangu,
ntarudi
Amesema yuko safari kama kuna lolote muhimu la kusaidiwa naweza kumuwakilishaMara ya kwanza sikuwa na feeling’s zozote kwako.. ilikuwa nataka tu pa kupumzisha moyo ila at the end unanifanya nikakupenda kiukweli ukweli ( wanawake huwa inachukua muda mrefu kumpenda mwanaume)
Ila umeniangusha mno wakati mimi ndio nazama kwako wewe ukaibuka ukaacha tena kunipenda..
Nataka nikwambie nakumiss sana na nakupendaa sana.. Kama itatokea Mungu akasema nichague mwanaume wa kuwa nae ningekuchagua wewe mara 100
😃😃 mwambie tu kila likitajwa jina lake moyo unapasuka 🤣Amesema yuko safari kama kuna lolote muhimu la kusaidiwa naweza kumuwakilisha
😀😀😀 atajitagg mwenyewe
Kumbe humu huwa kuna kupendana pia?Salaam nyingi kwenu wana jf… niliwamiss sana humu ndani
Leo bhn nimeleta confession yangu juu ya huyu Kijana nilikutana nae humu jf..
Nichukue nafasi Hii kukushukuru sana kwa kuwa na mimi katika kipindi kigumu nilichopitia.. pamoja na madhaifu yangu uliweza kunivumilia hivyohivyo.
Mara ya kwanza sikuwa na feeling’s zozote kwako.. ilikuwa nataka tu pa kupumzisha moyo ila at the end unanifanya nikakupenda kiukweli ukweli ( wanawake huwa inachukua muda mrefu kumpenda mwanaume)
Ila umeniangusha mno wakati mimi ndio nazama kwako wewe ukaibuka ukaacha tena kunipenda..
Nataka nikwambie nakumiss sana na nakupendaa sana.. Kama itatokea Mungu akasema nichague mwanaume wa kuwa nae ningekuchagua wewe mara 100
Nakusubirii umalize ujana tuwe wote pamoja
Happy valentine’s my dear Kaka mnyakyusa
It’s me your Brinn 😍
Last seen yake Monday 05:35😂😂Nitulie kwenye huu uzi nimsubiri huyo kijana
Aje hapa a confirmMwandiko wa kiume huu.