Nipo kwenye daladala kuna mdada mrembo amekaa mbele yangu namuona yupo bize kwenye MMU, umevaa kikoti cheusi na umelipiwa nauli na mtu anayeonekana ni mdingi wako, ila mdingi anavyotoa macho inawezekana ni mtata sana. Unatumia simu aina ya galaxy S4. please ni-pm kabla hujashuka.