Wewe kwani ni fundi gereji!?

Wewe kwani ni fundi gereji!?

Zatara

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2012
Posts
716
Reaction score
511
Msichana mrembo alikua hajisikii vyema katika daladala iliyojaa kupita kiasi. akamwomba msaada wa siti kwa kijana mmoja aliyekaa.

Jamaa akamwambia njoo tu nikupakate maana sitoweza kusimama. Binti akakubali. Baada ya kukaa jamaa akaona aanzishe mazungumzo
Jamaa: unafanyakazi ya usekretari nini?
Binti: eeeh kaka, na wewe unafanyakazi gereji nini?
Jamaa: eeeh dada, ulijuaje?
Bint: Nilipokalia kuna kitu kama jerk hivi, naona kinaninyanyua
 
nafkiri jamaa aliomba gari isifike
 
fundi akishuka aulize kama kuna dobi humo ndani ya gari
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom