Nimewahi kupishana na mwanamke kajisitiri vizuri tu na ni mrembo vibaya tukatizamana,baada ya kunipita si nikageuka nione uumbaji wa Mungu eeh bwana yule dada sikumuona ajabu tulipokutana ni chocho ndefu huwezi kuchepuka popote nilicheka tu nikaendelea na safari..
Mpaka leo sijui ni nini kilitokea sikua nimetumia kilevi chochote ni mchana kweupe,haya mambo yapo.