Wewe Hafrey wewe

Wewe Hafrey wewe

IMG-20250721-WA0035.jpg
 
Kama hii ndio single touch double manifestation basi tumekoma.. Hatutaonja sumu tena! Wala hatulambi wembe tena
Wengine tunashikana mashati.. Wengine tunaserebuka
Your browser is not able to display this video.
Kangi Lugola yuko wapi awakatikie hao UWT
 
Kuna haja Sasa ili uruhusiwe kufanya siasa Tanzania lazima uwe walau naa degree moja kutoka taasisi ya elimu ya juu inayotambulika.
Juu ya hapo uwe na IQ zaidi ya 130.

Kama hauna hivyo vigezo hapo juu, basi uwe na utajiri usiopungua Bilioni 20 kutoka kwenye biashara zinazotambulika kitaifa na kimataifa sio ule utajiri wa tunguli na kufuga fisi.

Siasa ndio zinaamua maisha ya watu, ni hatari sana kuruhusu wajinga kufanya siasa.

ndani ya mitaa ya Damascus - Syria.
 
😂😂😂...Tanzania hii? Mtu anaiba bilioni 20 halafu anakuambia Jamani nchi yetu ya amani hatuna mahala pengine pa kukimbilia
 
Back
Top Bottom