Kumbe Jason ni jina la Kibibliana walipowakosa, wakamkokota Yasoni na baadhi ya ndugu mbele ya wakubwa wa mji, wakipiga kelele, wakisema, Watu hawa walioupindua ulimwengu wamefika huku nako,
Matendo ya Mitume 17:6
sio kwa huo muandiko wako🤣Niko hapa babe🤣🤣
Kipepeo wa chuma naomba tuzungumze bestyyNiko hapa babe🤣🤣
Angalau umepata kitu kwenye uzi wa jalalani🤣Kumbe Jason ni jina la Kibiblia
Shangazi anko nakusalimiaNiko hapa babe🤣🤣
Sitaki mazungumzo na weweKipepeo wa chuma naomba tuzungumze bestyy
Umechagua fungu jemaSitaki mazungumzo na wewe
Mimi na watu Wenye matusi mdomon mbalimbali
🤣🤣Atauzoea tusio kwa huo muandiko wako🤣
Hivi hii Archimedes hebu iandike kiswahili niweze itamka🤣🤣Atauzoea tu
Muandiko wa Archimedes huu
Bestyy huwaga wanani-hack na ku-edit comments zangu, sio mimi yule wakutukanaga 🥺😥😥😥Sitaki mazungumzo na wewe
Mimi na watu Wenye matusi mdomon mbalimbali
Ni weweBestyy huwaga wanani-hack na ku-edit comments zangu, sio mimi yule wakutukanaga 🥺😥😥😥
Na kwenye hiyo thread nakupiga sound hadharani... please naomba uwe wa kwanza kunikubalia tu-make history na tupate tuzo mwisho wa mwaka 😍😋🤤❤💍Ni wewe
Andika thread ya kuniomba radhi hadharani ndo nitakusamehe🙏
Omba radhi hadharan 🙏Na kwenye hiyo thread nakupiga sound hadharani... please naomba uwe wa kwanza kunikubalia tu-make history na tupate tuzo mwisho wa mwaka 😍😋🤤❤💍
HAHAHAHA!... niombe radhi ya nini sasa we vipi?!Omba radhi hadharan 🙏