Weusi noma

Weusi noma

STALLEY

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2012
Posts
622
Reaction score
219
Hii ngoma mpya ya weusi GERE ni balaa tupu .flow kali ,beat kali ,kiukweli wamekuja kitofauti sana mara ya kwanza kuisikia nilishtuka kidogo lakini baada ya kuisikiliza tena nimewaelewa sana .weusi hawana mpinzani bongo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom