Kwenye music now hakuna new idea kila style ilishaimbwa,na music wa bongo hauna identity
jaribu kucopy wewe tuone
Dah! Kuna watu ni zaidi ya wachawi...
wazee wa kucopy nyimbo za mbele wanafanya modeling ya beat na nyimbo za mbele
hao jamaa wachawi kweli wa ku copy na ku paste. kwann wasije na ubunifu wana edit nyimbo za mbele.
Yeah nimekuelewa mzee,nilikuwa naweka tu record sawa kwamba wimbo ni bubble gum,wamekopi floo kwa wagenge. Na ndio maana utafeli,wanafata nyayo za izzo bizness.
na wewe umeona eenh!?nilwahi kumwambia izzo kuhusu hili akiwa hajatoka kabisa,Mbeya kule.alikua na nyimbo inaitwa 'wananongóna'.lyrics za kawaida ila zingewweza kabisa kumtoa ila dog alikua anachana kama Fid kabisa aisee.
yaani gandamizia ileile,tukamwambia utachelewa sana kutoka na akija mwenye 'hatimiliki' ya hiyo flow utaimba nini jamaa!?aliniona mkuda sana..... ila baadae rafiki ake akaniambia hata yeye izzo kaanza kuelewa!
unaweza sample ala,na kwa ruhusa ya mwenye nayo,hata mashairi.ila flows kwenye hip hop hapana!haikai sawa tu ukizingatia utamaaduni wa muzii wenyewe
Aliye na link ya 'safari' audio, atuwekee hapa tudownload.
ingia hapa upakuwe www.mkito.comAliye na link ya 'safari' audio, atuwekee hapa tudownload.
Duh kumbe ubishi wote huo ata wimbo haujausikia!??kazi ipo
ingia hapa upakuwe www.mkito.com
Aiseee..!! Yani wewe ni mbululaz.
Kwamba weusi wanamkopy izzo.?!?
na wewe umeona eenh!?nilwahi kumwambia izzo kuhusu hili akiwa hajatoka kabisa,Mbeya kule.alikua na nyimbo inaitwa 'wananongóna'.lyrics za kawaida ila zingewweza kabisa kumtoa ila dog alikua anachana kama Fid kabisa aisee.yaani gandamizia ileile,tukamwambia utachelewa sana kutoka na akija mwenye 'hatimiliki' ya hiyo flow utaimba nini jamaa!?aliniona mkuda sana..... ila baadae rafiki ake akaniambia hata yeye izzo kaanza kuelewa!
unaweza sample ala,na kwa ruhusa ya mwenye nayo,hata mashairi.ila flows kwenye hip hop hapana!haikai sawa tu ukizingatia utamaaduni wa muzii wenyewe[/
Sijui kigumu hapa kwa data kuelewa kilikua nini...au ndio ushabiki maandazi!?