Westlands vs Posta

Iyo kicc haina namba maalumu Za flr zake?
Btw naona Ni nyumba moja tu yenye 30flr+ wakati posta ziko 8
Izo Za 20flr + hata makumbusho zipo
Posta sio size yako ,ukiona umeumia tafuta transfomer iliokaribu ikumbatie
Umeitisha list nimekupa sasa umeanza bra bra mingi badala unilitee list ya posta umeanza utoto wa ooh 20flr ziko makumbushi oh 30flr ni moja wacha hisia za kike we mwanaume na itachukua iyo posta yenyu miaka hamsini kufika kwenye cbd yetu iko ....
 
Ifikie nn hasa?my ribs :D :D
 
westland nichimbuko la wezi vibaka usifnanishe na posta kabisa west ni ndugu wa damu na githurai na kibera usifananishe posta na shithole za KE.
 
Hii ndio posta bwana msifananishe na uchafu
dar-6904-postal-dar-es-salaam-tanzania-vista-parcial-D_NQ_NP_517421-MLB20797586128_072016-F.jpeg
93209493.jpeg
dar-es-salaam-aerial-city-scape-picture-id940423734.jpeg
1652.jpeg
darhouses%20pic.jpeg
images(2).jpeg
1540500581244.jpeg
DaresSalaam.jpeg
dar_es_salaam_road.jpeg
dsm.jpeg
1495189.jpeg
mghorfa.jpeg
images.jpeg
 
Fungueni uzi mwingine NBO CBD vs Posta. ..westy imeshakula kichapo cha mbwa jizi
 
Tafuteni sehemu nyingine ya kufananisha na posta huwezi fananisha postanamahali kumejaa vichaka vya kujifichia wakora hivi umeona picha za posta wacha kujifanya umevaa miwani ya mbao hata kama unapenda vyenu kubali kushindwa west miti ni mingi kuliko nyumba
Haha Westy vs Dar
tapatalk_1540111792936.jpeg
 
Hakuna haja ya kuwaaibisha CBD na Upper hill itakua kama rape case
CBD yenu imechoka haiendani na Posta ndio maana mnaleta vimiji vichanga kama westy na upper hill ambako walau kuna nyumba kadhaa zakuokoteza
 
Buda westlands na upperhill bado sana kwa main CBD...juzi umepost over 20 towers za posta zinatoshana na westy...cbd itakuabisha bure
CBD yenu imechoka haiendani na Posta ndio maana mnaleta vimiji vichanga kama westy na upper hill ambako walau kuna nyumba kadhaa zakuokoteza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom