Western media

Western media

Keyboard warriors katika harakati zao.Ubabe wa mitandaoni.
 
Wapenda haki popote mlipo tunapaswa kuperurusha #tag yetu ya free TAL kwa page za mitandao ya kijamii ya media kubwa duniani kama CNN, Aljazeera, BBC sio BBC swahili, Newyork times hii campaign isiwe na mwisho mpaka dunia nzima ijue yanayoendelea Tanganyika huku tukiwa na Quotation yetu pendwa ya No reforms no election, hakika campaign yetu itasikika duniani
Watanzania wewe waambie samata hajapewa pasi na mchezaji mwenzie huko sijui club gani, au kocha wa club gani sijui huko hajampanga samata...watafurika kama nzige Kwa matusi na maneno makali kwenye page za club husika mpk Dunia itasimama...ila sasa Kwa mambo ya ustawi wa nchi yao hautawaona..
 
Tunabidi watanzania tubadilike tuungane pamoja tupambane na huyu nduli CCM
 
Back
Top Bottom