uzeebusara
JF-Expert Member
- Apr 15, 2013
- 657
- 513
Huyo mwarabuHapo sasa hii mijitu inavuruga kwa wenzake halafu inahubiri demokrasia
Sio kila binadamu mweupe Ni mzungu!, halafu western armies washaacha kitambo kutumia bunduki za aina hiyo vitani. Hata uvaaji wao sio huo. Najua unawachukia lakini sio kigezo cha kuwafitinia kihivyo
Mkuu sina chuki na mzungu. Isipokuwa ukweli lazima usemwe. Hao wazungu si ndio mabingwa wa kuhubiri democracy wakishawavuruga wanakaa pembeni. Angalia Syria leo, Iraqi nkSio kila binadamu mweupe Ni mzungu!, halafu western armies washaacha kitambo kutumia bunduki za aina hiyo vitani. Hata uvaaji wao sio huo. Najua unawachukia lakini sio kigezo cha kuwafitinia kihivyo