Filipo
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 9,347
- 5,555
hah hah hah hah ha! Toka lini Zilipendwa ikatambulishwa hewani!?
Last edited by a moderator:
"nao hawata kuwa wawili tena, bali mwili mmoja!"
daaah kuna usalama kweli?Mkuu PakaJimmy itapendeza sana kama tutakutana na mamembers wa kutoka chumvini (dar), lakini tuhakikishe tunaimarisha ulinzi wa kutosha kwa warembo wetu Preta, Blaki Womani, Lily Flower, sweetlady, marejesho na wengine kutoka Arusha, manake bana hawa jamaa wa kule hawaaminiki kabisa, ukizingatia akina Bishanga, Ruttashobolwa, Chilli wakiongozwa na mkaguzi babu Asprin.
Erickb52, Arushaone, Filipo, Mr Rocky na mlokole Mzee wa Rula tuhakikishe tunachafua hali ya hewa kwa warembo akina Madame B, charminglady, FirstLady na wengine bila kuogopa kwenda selo, bali tuhakikishe tumeacha mbegu kwa hawa jamaa...................................... kwa pamoja tunaweza
hii sio nguvu ya kiroba tu nadhani...Achana na huyo mtoto wa shule...shida ya huyo anaandika post akiwa amelaza konyagi mezani, ndiyo maana dakika yoyote anaswekwa sero.