Wenzi mwalifamu hili?!

nikiwa kama mume tena wa ndoa takatifu na nijuaye wajibu wangu, nadhani masuala ya maombi wala hayahitaji ushauri kwa sana

Ila nikiwa pia kama mtoto wa kitaa, na nijuavyo mimi kwenye mafundisho ya ndoa hawafundishi romance, wala maujanja ya triple block wala kafa ulaya

ushauri mzuri kwa vijana
 
Tatizo mtambuzi tuliaambiwa kushiriki lile tendo kabla ya ndoa ni uzinzi, kwahiyo kuiombea dhambi ni kama kutenda ile dhambi tuliyoambiwa haisameheki(kumdhihaki roho mtakatifu)
 

Hapo pekundu sasa nimekuelewa vizuri gfsonwin, kumbe hata nikiomba kimoyo moyo inatosha! Basi mwenzio nilidhani unamaanisha ile formality kabisa ya wote wawili mnapiga magoti mnasali halafu ndo mnaanza mchezo. Ndo maana nilikuwa nashindwa kupata picha maana nilikuwa najaribu kufikiria, ukitaka cha jikoni muombe kwanza, cha bafuni muombe kwanza, cha kwenye makochi sebuleni muombe kwanza, cha asubuhi asubuhi muombe kwanza, cha sijui wapi muombe kwanza loh!

Hapo sasa nipekupata vizuri, ahsante kwa ushauri
 

karibu sana ma friend mito.
 
Last edited by a moderator:
Mimi huwa naiombea inipe maraha tele haha kuomba lazima nilifunzwa mie kitchenparty doctor
 
Du shosti, Asante kwa shule iliyoingia darasani! Uko juu kungwi wa ukweeli!

Ngoja niiombee ya Eiyer ili isibikiriwe na mwingine but me! LOL
 
kw sisi waislamu kuna dua ya kuomba wakati wa kufanya tendo la ndoa. pia hata mukiowana usiku wa mwanzo tu munatakiwa muswali tena mume ndo anakuwa imam anamswalisha mkewe
inabaraka zake kuomba kabla ya tendo la ndoa, MUNGU anajalia watoto wema
 
Mmmmh, sala inaweza isifike mwisho

utakuwa hujakusudia kusali muulize Kaizer wangu lazima kwa sala na tukimaliza sala. kumbe weye na Asprin huwa hamsali? lolest! ...........ndio maana mapenzi yanaisha hayo
 
Last edited by a moderator:
Mmmmh, labda muwe mnaomba asubuhi tu mkiamka
Maana maruhani wengine wanakuja bila taarifa
hutakumbuka hata kama kuna sala
utakuwa hujakusudia kusali muulize Kaizer wangu lazima kwa sala na tukimaliza sala. kumbe weye na Asprin huwa hamsali? lolest! ...........ndio maana mapenzi yanaisha hayo
 
let me try to imagine:
E Mola mwingi wa rehema,mimi bishanga na mpenzi wangu The secretary, tunajileta mbele yako e Baba,unavyotuona ndo tushavua nguo,sasa Baba wa mbinguni tunaomba niniliyu ya Bishanga pamoja na kwamba imefungwa POP isisinyae katikati ya tendo,e Baba na ikifyatua risasi ziwe za uzao mwema.......

na mkimaliza:

E Baba ona wanao tulivyolegea,tunasikia kiu,hata nguvu ya kwenda kwenye jokofu hatuna,tunaomba e Baba kama mmoja wetu ana vidudu visihamie kwingine......

dah! gfsonwin una mambo!
 
Last edited by a moderator:
Bishanga hiyo hiyo inafaa sana manake Mungu huangalia moyo wa uliye muomba na anatimiza haja za mioyo yetu lolest. its good to pray before and after love making na hii hupunguza incidence za kuanguka majaribuni sana tu. it has worked to me.
 
Last edited by a moderator:
Bishanga hiyo hiyo inafaa sana manake Mungu huangalia moyo wa uliye muomba na anatimiza haja za mioyo yetu lolest. its good to pray before and after love making na hii hupunguza incidence za kuanguka majaribuni sana tu. it has worked to me.

weka sampo ya sala yako hapa...lol!
 
weka sampo ya sala yako hapa...lol!

sala kabla ya tendo la ndoa
Mungu baba, mwing wa rehema na upendo tunakushukuru sana kwa ajili ya upendo wako katikati yet. Zaidi sana tunakushukuru kwa kutufanya gf na gy kuwa mwili mmoja na sasa tupo mbele zako kwa ajili ya kutimiza haja zetu na matamanio yetu ya kimwili.Tunakuomba uwe katikati yetu tendo hili tulifurahie na tujitoe kwa upendo na uaminifu wakati wote tutakapo shiriki tendo hili. Tunamkemea shetani aletaye roho za kutokuwa na kiasi na tunaharibu mipango yake yote katikati ya ndoa yetu. amen

sala baada ya tendo la ndoa

Mungu baba, tunakushukuru sana kwa uaminifu wako kwetu. tumetabua ya kwamba wewe Mungu ni mwaminifu kwetu na uaminifu wako unakuzunguka insi ambavyo ulikuwa pamoja na sisi toka tulipoanza kushiriki tendo hadi tunapomaliza. Asante sana kwa ajili ya miili yetu na kwa furaha na raha tuliyooipata wakati tunafanya tendo hili takatifu. Tunamtangazia Ibilisi baba wa uongo ya kwamba hatatudanganyaa tena kwakua umetuonyesha utukufu wako katika tendo hili kwa raha tuliyoipata. Sasa tunaviweka viungo vya miili yetu wakfu kwaajili yetu wenyewe na kwa ajili ya utukufu wako.
amen
 

Hahahahaa., duh hiyo Kali. Hebu nifundishe kusali sala ya kuombea hiyo kitu piliiiz:dance:
 
mi naona kama ni wanandoa inapendeza sana kama mkaliombea tendo hilo kwani kama linavyoitwa ni 'tendo la ndoa'...sasa kama uko chobingo, au mnaishi tu yaani hamjafunga ndoa, ni bora msifanye unafiki kwa Mungu wenu, nyie fanyeni mambo yenu kimyakimya basi...muachieni yeye ndiye anajua hatma ya huo uhusiano wenu...
sipati picha
unamaliza sala na kusema ameen,,,halafu unamwambia sasa mama kinachofuata ni 'chuma mboga'
geuka basi.....lol
 

hata mpokea maombi ataweka mgomo kupokea ombi hili
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…