CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,789
- 8,917
Miaka na miaka kuna watu wanandaga Israeli kujifunza kilimo.
Israeli kama unavyojua imepiga hatua kubwa sana kwenye Kilimo kiasi kwamba levo zao ni Nchi za Ulaya na Marekani.
Sasa jamaa zetu huwa wakirudi wanaingia Field moja kwa moja au tena hurudi kutafuta kazi? Kuna mmoja namjua aliendaga Israeli kwa misheni za Kilimo, ila nilikuja shangaa one day kumkuta tena kaajiriwa, sikutaka kumuuliza make ni maamuzi yake. Hawa jamaa wanaoenda Israeli ndio walipaswa kuwa Mashamba darasa ya sisi raia wengine kutembelea na kupata ABC za mapinduzi ya Kilimo.
Ila sijawahi bahatika kukutana na hata mmoja au kusikia fulani alieenda Israeli Shamba lake ndio lile pale.
Au wana practise kimya kimya na hawaki raia sisi tujue? Mwenye connection na Mashamba yao please.