Nakuhakikisha, hawa viongozi wa sasa, si mawaziri, si maRC, si maafisa wa Polisi au jeshi, si majaji, si wakuu wa TAKUKURU wala TISS, hakuna mmoja wa kukataa rushwa. Wenfine hawakatai wakipewa, wengine mpaka wanadai.Mkuu yote hayo uliyoyaandika ni kweli na humu tumo tulioshuhudia neema hizo wakati huo
Miaka hiyo kulikuwa na meter za maji kila nyumba yenye uwezo wa kulipia maji, tulikuwa na landlines manyumbani na unaongea na operator anakuunganisha au unasikia mlio unapokea unaambiwa ni simu ya fulani
Maisha yote hayo na makampuni yote kulikuwa na kitu kimoja in common
Kulikuwa wizi hakuna kama wa leo
Na rushwa ilikuwa sio kubwa sana au hakuna kabisa sehemu nyingi
Nakumbuka wazee walikuwa wanajua haki zao kuliko vijana wa leo ambao neno lao ni moja tu kuiba sana na kuomba rushwa
Viongozi wa juu wakiwa waadilifu naapa hata wa chini watanyooka
Ila tatizo viongozi wengi ni waizi na wanahalalisha wizi kwa kuwahamisha toka sehemu moja kwenda nyingine kufukia mashimo
Hatutafika popote kama juu kumeoza
Kwenye hilo wengi hawaujui ukweli:Nachojua china ni watengenezaji bora wa bidhaa duniani.
China hutengeneza bidhaa kutokana na soko la bidhaa hizoo.
Wakati ule nauli ilikuwa sh 5, yaani sawa na dola 1. Kwa hiyo nauli ya mabasi ya mzunguko mjini ilikuwa dola moja. Neno hilo dola ndiyo lilizaa jina daladala wakimaanisha kila unakoenda unalipa dola moja. Watu walikuwa wakilipa na kuona ni hela ya kawaida. Leo waambie abiria kuwa nauli ya daladala ni sh 2,350; watatweza kutoa, au itakuwa ni malalamiko kila mahali?Mkuu yote hayo uliyoyaandika ni kweli na humu tumo tulioshuhudia neema hizo wakati huo
Miaka hiyo kulikuwa na meter za maji kila nyumba yenye uwezo wa kulipia maji, tulikuwa na landlines manyumbani na unaongea na operator anakuunganisha au unasikia mlio unapokea unaambiwa ni simu ya fulani
Maisha yote hayo na makampuni yote kulikuwa na kitu kimoja in common
Kulikuwa wizi hakuna kama wa leo
Na rushwa ilikuwa sio kubwa sana au hakuna kabisa sehemu nyingi
Nakumbuka wazee walikuwa wanajua haki zao kuliko vijana wa leo ambao neno lao ni moja tu kuiba sana na kuomba rushwa
Viongozi wa juu wakiwa waadilifu naapa hata wa chini watanyooka
Ila tatizo viongozi wengi ni waizi na wanahalalisha wizi kwa kuwahamisha toka sehemu moja kwenda nyingine kufukia mashimo
Hatutafika popote kama juu kumeoza
Kwa sasa hivi hatutapiga hatua hata moja tena kwa jinsi watu walivyo warohoNakuhakikisha, hawa viongozi wa sasa, si mawaziri, si maRC, si maafisa wa Polisi au jeshi, si majaji, si wakuu wa TAKUKURU wala TISS, hakuna mmoja wa kukataa rushwa. Wenfine hawakatai wakipewa, wengine mpaka wanadai.
Jamaa zangu waliopo kwenye business nchini, sasa hivi wanasema ukitaka shughuli zako ziende, wekeza kwenye kutenga hela kwaajili ya wakubwa, na siyo kwenye kufuata sheria. Fuata sheria zote, lakini kama huwapi hela utakwama tu.
Na hiyo naamini ni kweli kabisa. Jamaa yangu mmoja alikuwa anataka kuunganishiwa umeme kwenye project yake. Wakamwambia eti hapo ni mbali, ni mradi. Wakapiga mahesabu yao wakasema utahitajika kulipa 28m ukienda kwa utaratibu wa kawaida. Akaenda akaongea na mkubwa, akaacha 2m tu kwake, umeme umeungwa kwa 1.6m.
Endelea kushangilia mama anaupiga mwingi kama kawaida yakoMtu mnafiki, mwongo, na ambaye hana uhuru wa mawazo huwa hagundui kitu chochote, akijitahidi ataishia kuiga na kukariri.
Moja ya sababu, wanasaikolojia wanasema kwa nchi ya China kutokufanya ugunduzi, na kuwa nchi ya copy and paste, ni wananchi wake kuelelewa katika mazingira yasiyoheshimu uhuru wa mtu.
Tanzania kuna wakati ilikuwa inaunganisha malori aina ya Scania, sasa hivi tumeishia kuunganisha pikipiki za China.
Kuna wakati tulikuwa tunaunganisha matrekta bora kabisa ya valmet, sahizi hatuunganishi hata power tiller.
Tulikuwa tunatengeneza baiskeli aina ya swala, baiskeli nzuri kabisa,sahizi hatutengenezi hata sindano ya cherehani.
Kuna wakati tulikuwa tunatengeneza matairi bora kabisa yakijulikana General Tyre, sahizi tumebakia kuwa watumiaji wa matairi ya hovyo kabisa kwa ubora kutoka China.
Kuna wakati tulikuwa tunatengeneza mashuka bora kabisa toka kiwanda cha Mutex, siku hizi tumebakia kuwa watumiaji wa mashuka ya hovyo kabisa, yapo kama vikaratasi, kutoka China.
Kuna wakati tulikuwa tunatengeneza viatu bora vya ngozi toka kiwanda cha Moro Shoes, siku hizi tumebakia kuwa wanunuzi wa viatu duni kabisa toka China, ukijikwaa tu kimechanika au kuraruka.
Tulikuwa tunatengeneza ndoo za ubora wa hali ya juu, Amboni Plastics, siku hizi tumebakia na ndoo takataka ukibebea tu maji, mshikio unachomoka au ndoo yenyewe kupasuka.
Wakati ule ilikuwa kipimo cha umaskini kwa mama ni kuvaa kanga iliyotengenezwa China au India, huku mwenye uwezo akivaa kanga ya Urafiki, leo hata ukiwa na hela, kanga nzuri huipati popote, kila mahali ni takataka za kutoka China.
Zamani, katika Afrika Mashariki, Tanzania ndiyo nchi angalao ilikuwa inaonekana kuwa na demokrasia, leo ndiyo nchi ya mfano kwa utawala usiozingatia sheria, usioheshimu mgawanyo wa mihimili. Tena imekuwa ni nchi ya kidikteta ambayo hata kura ya mwananchi haina maana yoyote katika kuwapata viongozi.
Kenya tuliokuwa tunawaona hawajastaarabika kwa kuendekeza siasa za ukabila, sasa ni nchi ya mfano Afrika Mashariki kwa kuheshimu utawala wa sheria, demokrasia, haki za watu, uhuru wa maoni, na katika kuheshimu mfumo wa siasa za vyama vingi.
Wakati wenzetu, kuendelea inamaanisha kuboresha, sisi kuendelea inamaanisha kuendeleza uharibifu. Tumekuwa Taifa bandia, taifa linaloongozwa kwa hadaa na ulaghai. Majukwaani wanatamka vingine, matendo yanakuwa kinyume. Wateule wamebakia kuumsifia anayewateua kwa unafiki. Kila mahali watasimama na kumsifia aliyewateua ili awaone na kuwasikia, wakiachia mic, wanamsema vibaya. Unafiki mtupu.
Watawala, hata pale ambapo mambo yanaenda vibaya, watakuambia kuwa sasa ndiyo tunapaa, wakati hata vyandarua vya mbu tunapewa msaada. Zamani, Serikali ilikuwa na watu wanapita mitaani kufanya fumigation kuua mbu na mende, leo tunashindwa hata kununua chanjo kwaajili ya watoto wetu wanaozaliwa.
Ni nani atalirudisha Taifa kutoka kwenye unafiki kulipeleka katika uhalisia? Nani ataweza kusimama na kusema kuwa Taifa letu ni duni katika nyanja nyingi, tusimame, turudi na kuanza upya?
Siku zote hatua ya kwanza kuleta mabadiliko chanya ni kuutambua na kuukubali udhaifu wako.
Machafuko nyuma ya keyboards?Hapa tulipo bila machafuko tuanze upya sitegemei kuona mabadiliko yoyote ya maana. Sana sana propaganda ndio itazidi kushika kasi.