Wenzetu wana maendeleo kwa sababu...........

STALLEY

JF-Expert Member
May 5, 2012
618
206
Hata jambo dogo kiasi hiki wanalifanya kwa ubora wa hali ya juu.hapa wanapanga vikombe bunge la japan
 

Attachments

  • Japan.jpg
    Japan.jpg
    28 KB · Views: 155
Duh umenikumbusha mbali, enzi za mwalimu tuikuwa tunaambiwa eti Hitler alikuwa ananyoosha mistari ya wanajeshi wake kwenye gwaride kwa kutumia bastola, yaani anakaa mwanzoni mwa mstari halafu anacheki akiona mstari umepinda anawasha shaba km wewe ndambi imetokea kidogo inakuwasha hahahaha
 
Mkiendelea sana mnakuwa na mambo ya kijinga,kwani wasipopanga kwa mstari chai hainyweki?
 
Back
Top Bottom