wenzetu wakenya wanatuacha hao.

We unazungumzia flyover, umeshaona hizo barabara zilizopo hali yake? Si mashimo matupu? Hiyo mitaro je? Usafi tu wa jiji umeshindikana, itakua flyover?
Tatizo ukiwaambia viongozi ishu ya kujenga flyover unaambiwa "Haiwezekani!"
Kujenga barabara za kisasa "Haiwezekani!"
Kuleta mabasi sijui treni za kasi "Haiwezekani!"
Kununua mitambo mipya ya umeme "Haiwezekani!"
Cha ajabu kulipa bil 94 dowans "Inawezekana!!"
Hivi hii nchi priorities zake ni za aina gani? Mi nashindwa kushangaa..
 
At least tuwe na hizi basi kama flyovers zinatushinda
 

Attachments

  • DB_1.jpg
    DB_1.jpg
    2.3 KB · Views: 72
  • DB_2.jpg
    DB_2.jpg
    2.3 KB · Views: 73
Back
Top Bottom