Morogoro kuna cable tv ambayo unaangalia mechi nyingi sana tofauti na ufisadi wa hivi vya dar.
Dar es salaam kuna walanguzi wengiii, mi nilishangaa mtu katoka ugweno akawa ananitajia station na vipindi ambavyo hata sivijui inshort jamaa dunia yote ipo pale ugweno bila gharama.