BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 5,197
- 14,377
Kukunua ndo kufanya nini kiongozi π€Hajawahi kukunua malaya mguu
Ukipata mke sahihi kila kitu kitakuwa sahihi..Unakuta kijana mdogo full of potential ana harakati zake ana mke na watoto jumamosi asubuhi anaenda jumuiya jumapili yupo kanisani pengine unakuta kanisani ana kacheo kidogo kama ni muislamu anashiriki ibada kila mara.
Hatumii kilevi chochote sio sigara, bangi, mirungi wala hajui ladha aina yoyote ya pombe. Hajawahi kununua malaya mguu wake haujawahi kuvisit madanguro wala michezo ya buza kwa mpalange haijui
Natamani sana that kind of life ila ni kama kuna force ambayo inanipiga knockout upande wangu kila kitu uwa kinaenda sawa pale ambapo pesa nakuwa sina ila mbongo mimi shimo likitema ni kama navurugwa kmmk ni mwendo wa pombe na malaya hapo ndipo nilipokwama hii kitu inanitesa sana nikiweza kuvuka huu mtego nitafika mbali sana
Unakuta kijana mdogo full of potential ana harakati zake ana mke na watoto jumamosi asubuhi anaenda jumuiya jumapili yupo kanisani pengine unakuta kanisani ana kacheo kidogo kama ni muislamu anashiriki ibada kila mara.
Hatumii kilevi chochote sio sigara, bangi, mirungi wala hajui ladha aina yoyote ya pombe. Hajawahi kununua malaya mguu wake haujawahi kuvisit madanguro wala michezo ya buza kwa mpalange haijui
Natamani sana that kind of life ila ni kama kuna force ambayo inanipiga knockout upande wangu kila kitu uwa kinaenda sawa pale ambapo pesa nakuwa sina ila mbongo mimi shimo likitema ni kama navurugwa kmmk ni mwendo wa pombe na malaya hapo ndipo nilipokwama hii kitu inanitesa sana nikiweza kuvuka huu mtego nitafika mbali sana
Umri Chief, kuna umri vijana wengi tunakuwa hatujitambui wakati ndio muda wa kutengeneza utajiri kabla majukumu hayakubana sana, ukija kustuka 35 hiyo hapo na uzee ushaanza. Unakuja kujipata una 40 naaa.Unakuta kijana mdogo full of potential ana harakati zake ana mke na watoto jumamosi asubuhi anaenda jumuiya jumapili yupo kanisani pengine unakuta kanisani ana kacheo kidogo kama ni muislamu anashiriki ibada kila mara.
Hatumii kilevi chochote sio sigara, bangi, mirungi wala hajui ladha aina yoyote ya pombe. Hajawahi kununua malaya mguu wake haujawahi kuvisit madanguro wala michezo ya buza kwa mpalange haijui
Natamani sana that kind of life ila ni kama kuna force ambayo inanipiga knockout upande wangu kila kitu uwa kinaenda sawa pale ambapo pesa nakuwa sina ila mbongo mimi shimo likitema ni kama navurugwa kmmk ni mwendo wa pombe na malaya hapo ndipo nilipokwama hii kitu inanitesa sana nikiweza kuvuka huu mtego nitafika mbali sana
You have to break some rules to become an icon,don't listen to ney sayers.Unakuta kijana mdogo full of potential ana harakati zake ana mke na watoto jumamosi asubuhi anaenda jumuiya jumapili yupo kanisani pengine unakuta kanisani ana kacheo kidogo kama ni muislamu anashiriki ibada kila mara.
Hatumii kilevi chochote sio sigara, bangi, mirungi wala hajui ladha aina yoyote ya pombe. Hajawahi kununua malaya mguu wake haujawahi kuvisit madanguro wala michezo ya buza kwa mpalange haijui
Natamani sana that kind of life ila ni kama kuna force ambayo inanipiga knockout upande wangu kila kitu uwa kinaenda sawa pale ambapo pesa nakuwa sina ila mbongo mimi shimo likitema ni kama navurugwa kmmk ni mwendo wa pombe na malaya hapo ndipo nilipokwama hii kitu inanitesa sana nikiweza kuvuka huu mtego nitafika mbali sana
Dogo amelelewa kwenye maadili mazuri na anamuogopa Mungu.Binti wa zamani kuna yule mdogo wako anaishi life kama hili, mstue asogee hapa
Haaahaa π πame-lala
Una Pumb** tu, kijana wa hovyo πππ€£π€£π€£π€£π€£Dah naona ume-copy maisha yangu Kwenye mada yako, japokuwa mm sina mke, mtoto wala pesa π