Wenzetu mnapataje ajira? tunaomba ushauri

Wenzetu mnapataje ajira? tunaomba ushauri

mkulima gwakikolo

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2014
Posts
1,767
Reaction score
2,858
Nimemalza chuo miaka 8 iliopta profesionally as urban plan,then 5 yrs badae did postgrdt BA ifm, my life marA zote hz nimekua nimeajiJiri mitaani,

kwa sasa nmeona vyet vyangu vmekua not productv kw mana vmekaa tu na ni vyet vyA ukwl Je kwa uzoefu mlioajiriwa na wengneo vp naweza pata ajira mahal, kama vile ministry of land na fonancial instution?

leten maushauri !!
 
Kaka kumbe hauna shida kumbe hata kuomba haujaomba hzo Ajira unauliza utapata?
Pili unaonesha haupo serious aisee.
 
Nimeelewa kumbe watu hawachambui vya mana ktk usomaji,ndy mana yale magazeti ya yule jamaa anauza sana.mwandishi ana kitu cha maana aliandka hapo,mtu mwenye akili ataelewa tu nini was needed ,watu wachache wenye busara!!! But majibu baadhi yenu so educative!!!!
 
Nimemalza chuo miaka 8 iliopta profesionally as urban plan,then 5 yrs badae did postgrdt BA ifm, my life marA zote hz nimekua nimeajiJiri mitaani,kwa sasa nmeona vyet vyangu vmekua not productv kw mana vmekaa tu na ni vyet vyA ukwl
Je kwa uzoefu mlioajiriwa na we.gneo vp naweza pata ajira mahal,kama vile ministry of land na fonancial instution? ,leten maushauri !!

kama kwenye barua ya maombi pia unaandika ivi, utasubiri sana.
 
So you tell me that,the employers seek language knowhow and not the technical knowhow??
 
You hv brought ensults ,which dont value anything, better u cud remain silent
 
funga, sari ndani ya mwezi uapata kazi
 
Umejiajiri na nini aisee , na mimi nije tuunganishe nguvu
 
Dah hayo maandishi ni hatari mzee, inaonyesha hauweki effort hata kidogo kwenye mambo yako, hakuna atakayekupa kazi kwa staili hiyo, anyway hauna experience ya kazi unazo apply?

Bandika VC unayotumaga kwa waajiri, futa jina lako kama unaogopa watu kukujua. Tutakusaidia kuiweka freshi.
 
Ndugu yangu weng watakuja na meng tu lakini mtegemee Mungu ndo atakuwezesha Mungu ni kila kitu.
 
Kwa uandishi huu, ningeshangaa kama ungekua kazini, rudi darasa la pili B ujifunze kuandika....

Hata mie baada ya kusoma uzi niliingiwa na wazo kama lako....

Kwanza kabla ya yote hilo ndio tatizo lake la kwanza..

Aanzie hapo
 
Japo kuna undugu, rushwa nk, nyakati zingine Mungu anatenda katika njia za ajabu kabisa hutakiwi kabisa kukatishwa tamaa na maneno ya watu ambao wengi huwa ni waropokaji tu hawajui lolote. Siku utakayokata tamaa huenda ulipangiwa kufanikiwa kesho yake. Uwe mbunifu pia kwa kutumia fursa zinazokuzunguka.
 
Nimemalza chuo miaka 8 iliopta profesionally as urban plan,then 5 yrs badae did postgrdt BA ifm, my life marA zote hz nimekua nimeajiJiri mitaani,

kwa sasa nmeona vyet vyangu vmekua not productv kw mana vmekaa tu na ni vyet vyA ukwl Je kwa uzoefu mlioajiriwa na wengneo vp naweza pata ajira mahal, kama vile ministry of land na fonancial instution?



leten maushauri !!


Hii ni aibu ndugu
 
Si lazima uajiriwe kwa kupeleka maombi. Njia nyingine rahisi ni kujitolea kwenye kampuni husika halafu onesha uwezo. Watakuajiri au wenye uhitaji wa mtu kama wewe watakiona na kukuajiri.
 
Back
Top Bottom