Nimeelewa kumbe watu hawachambui vya mana ktk usomaji,ndy mana yale magazeti ya yule jamaa anauza sana.mwandishi ana kitu cha maana aliandka hapo,mtu mwenye akili ataelewa tu nini was needed ,watu wachache wenye busara!!! But majibu baadhi yenu so educative!!!!
Nimemalza chuo miaka 8 iliopta profesionally as urban plan,then 5 yrs badae did postgrdt BA ifm, my life marA zote hz nimekua nimeajiJiri mitaani,
kwa sasa nmeona vyet vyangu vmekua not productv kw mana vmekaa tu na ni vyet vyA ukwl Je kwa uzoefu mlioajiriwa na wengneo vp naweza pata ajira mahal, kama vile ministry of land na fonancial instution?
leten maushauri !!
Kwa uandishi huu, ningeshangaa kama ungekua kazini, rudi darasa la pili B ujifunze kuandika....
So you tell me that,the employers seek language knowhow and not the technical knowhow??
funga, sari ndani ya mwezi uapata kazi
Dah hayo maandishi ni hatari mzee, inaonyesha hauweki effort hata kidogo kwenye mambo yako, hakuna atakayekupa kazi kwa staili hiyo, anyway hauna experience ya kazi unazo apply?
Bandika VC unayotumaga kwa waajiri, futa jina lako kama unaogopa watu kukujua. Tutakusaidia kuiweka freshi.
your not serious, endelea tu na shughuli unayofanya.. Usitafute Ajira maana hautapata.