ukifanya hivi kwa nchi zetu ambazo kila kitu wanapanga matajiri hatutofika mbali maana tutalala njaa,ukitaka jambo hili lifanikiwe uwe na uwezo wa kujitosheleza kimahitaji bila kutegemea misaada toka kwa wahisani ingawa si jambo jema sana kufanya hadharani kama picha inavyoonesha.
Kuna namna nyingi ya kuwafanya watu wajifunze bila kutumia njia hii,kutoa uhai wa mwenzio kama funzo kwa wengine kwangu naona si jambo jema.hii ya hadharani ni kusudu la wengine kujifunza/kutia hofu/kuondoka utata kwamba hawakunyongwa n.k.
Watakua isis hao,nasikia mji wa mosul na wa raggah rushwa wameshaivuta siku nyingi.Iran??
Hii kitu kwa nini tusiitumie hapa Tz. Naitamani sana
Ukwaju wenzetu hawarembi, hasa wachina hawajali wewe ni nani na una bei gani!!! Unakumbuka ishu ya maziwa ya 3deers na kashfa ya melamine? Wamiliki ambao ilikuwa ni familia tajiri mno na maarufu nchini China hawapo tena duniani
Mshana hii sinema gani vile,
tuwekee basi hata source ukiikosa jina lake
maana wanopolewa na maCrane
halafu wote inaelekea ni Maskini kuanzia afya mapaka mavazi na hawakufunikwa vichwa
sijui picha ya lini hii maana maraya mwisho ni China ndio wamemnyonga mtu wa mwisho
nomejaribu ku-Google
hii ndio sijaijua ilikuwa picha gani Mshana maana hujaweka LinkUkwaju wenzetu hawarembi, hasa wachina hawajali wewe ni nani na una bei gani!!! Unakumbuka ishu ya maziwa ya 3deers na kashfa ya melamine? Wamiliki ambao ilikuwa ni familia tajiri mno na maarufu nchini China hawapo tena duniani