Wenzenu tumevamiwa hapa

sijamnyanyapaa mtu hapa hivi hujui tuko jukwaa gani hapa
hapa ni mpango wa chat hivyo unyanyapaaji hakuna elewa somo

Sasa mbona unawasema vibaya wenye BB...najua nipo jukwaa gani.
 
kuchangumu nakuja hata kama msiponiita
Na nitawang'olea videmu venu mwaka huu mpaka mkome
 
Last edited by a moderator:
elewa somo na somo lenyewe ni lugha best
hebu kuwa kichit chat
maana naona umekuja juu kama pishi la mchele
Sasa mbona unawasema vibaya wenye BB...najua nipo jukwaa gani.
 
Hahaaa!cousin siku zotee paka akitoka panya lazima atawale,cku tukirudi tutasafisha wavamizi wote,kwa sasa tunasaka mshiko tunaingia kwa kubeep!acha wajimwage kidogo!
 
wanaharibu hali ya hewa hapa ujue cousin
Hahaaa!cousin siku zotee paka akitoka panya lazima atawale,cku tukirudi tutasafisha wavamizi wote,kwa sasa tunasaka mshiko tunaingia kwa kubeep!acha wajimwage kidogo!
 
bora iwe hivyo maana ulivyoondoka kwenda norway yeye alikuwa anabadilisha kama nguo mjengoni hapa
na nikamwambia kwanini unafanya hivyo akawa mbishi kama pilipili
Hahaaa!na mm nikirudi nataka talaka yangu!
 
bora iwe hivyo maana ulivyoondoka kwenda norway yeye alikuwa anabadilisha kama nguo mjengoni hapa
na nikamwambia kwanini unafanya hivyo akawa mbishi kama pilipili
cousin muhabarishe,aandae talaka,nikirudi niikute,kuanzia sasa sijaolewa wala cna mume!mhabarishe na pacha angu!
 
hapa utakuwa unamlenga The Boss
 
Last edited by a moderator:
Jins nilivyommiss wee acha tu bestito yani natamani hata hzo sharubu nichezee kwa kuzivuta
umemmiss sana?!?!!?
Ngoja aje umchezee sharubu....................
 
NGOJA NIMPE ONYO KALI MAANA AMEZOEA SANA HUYU SIJUI KAMA PACHA WAKO Lady doctor ANALIFAHAMU JAMBO HILI HIVI MMEJIANDAAJE KUHUSU ILE ISSUE YA DADDY TULIYOONGEA MANA NAONA KIMYA?
cousin muhabarishe,aandae talaka,nikirudi niikute,kuanzia sasa sijaolewa wala cna mume!mhabarishe na pacha angu!
 
Last edited by a moderator:
Samahani, we unalalamika kama nani wa humu? Yani una nafasi gani mpk uweke wigo 'tumeingiliwa'
 
kama mkuu wa kitengo cha kurekebisha

QUOTE=Jerrymsigwa;9751461]Samahani, we unalalamika kama nani wa humu? Yani una nafasi gani mpk uweke wigo 'tumeingiliwa'[/QUOTE]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…