ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
Si umeona sana,
Na ni kweli kabisa MziziMkavu alisema
wanaotumia simu aina ya blackberry hamjatulia.
Ni nini kinawatoa huko tuisheni.
MamndenyiHapa tumevamiwa tena ni ukweli;
Nimeshangaa hadi nikashangaa mtu mzima fulani
katoka MMU kuja kutafuta mchepuko huku; hivi kweli
hawa wa huku akina Asprin, Arushaone na wale
madogo wote wameshindwa kazi.
Ngoja nitaandaa payroll ---- siyo ya malipo lakini---------
Hapa kama haujaitikia prezent, jina linafutwa.
Blackberry sio simu? Being around unpleasant people slows the rate at which the brain processes movement, making ... you might think the person is moving more slowly than they actually are!
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
kichit chat mkuu wewe unachukulia kivile mimi nimetania tuWapi kamtaja the boss?
hapo umetoa mfano ama?
Wee ladyfurahia ndo mvamizi
Sasa for ur infomation blackberry ndio mapango mzima nyie anagaikeni na hzo os wenzenu tupo kwenye sos smartphone,
Sent from my BlackBerry 9380 using JamiiForums
haya tuwaache nyie wamakablackberry muendelee
Acha kuwanyanyapaa wenye BB,kwan za kwao sio simu?..kila mtu ana chaguo lake na uwezo wake,kama ww ina htc ndio upo juu sana au?