hivi kwanini unakuta mtu anasoma yuko darasani mwalimu anafundisha, wewe kama wewe unakuta ni mmoja wapo, ila Mawazo yako hayako pale na wala umsikilizi yaani mawazo yamehama yako nje ya darasa, na unajikuta unawaza mawzo ambayo dah [either unawaza mapenzi,au kuna kitu vingine unawaza, then akili inakuwa nzito then hata kama unasoma uko labda Prepo unajisomea baada ya mda ullicho kisoma unajikuta unsahau bila kujijua, Tazizo hilo linatokana na nini na nini kinachosababisha mpaka inakuwa hivo naombeni msaada wenu Tafadahali nisaidieni kwa hilo