Wenzangu mpoo!

Kibulu

Member
Aug 17, 2012
58
15
Wale ambao hawajaomba mkopo kama mimi mpo mi kwenye akauti yangu nshaekewa mil 2 ya kuanzia sio lazima wote tutegemee mkopo watanzania fanyeni kazi kwa bidii kutegemea mkopo kunalemaza!
 
Me cjaapply lakn nina uhakika wa kupata mkopo,tena toka helsb.chezea bongo weye..
 
Unatia hasira kinoma!aaaaargh!hujaomba na utapata mkopo!nadhan huna kgezo ata k1!achen ufsad na huyo ndgu yako wa bod
 
Unatia hasira kinoma!aaaaargh!hujaomba na utapata mkopo!nadhan huna kgezo ata k1!achen ufsad na huyo ndgu yako wa bod

vigezo ninavyo vyote,ila ckuapply tu makusudi,lakn ndo ivo tena nshalambwa 90% zangu!
 
Back
Top Bottom