Ni miaka minne sasa niko Dar najituma kutafuta pesa ...sinywi pombe, sina anasa lakini biashara na mipango yangu inakwama vibaya mnooo!...wenzangu wao kila siku wanafanya starehe lakni mambo yao yako vizuri!
Mama na wadogo zangu wananitazama!
Eti! Jamani ninakosea wapi mwenzenu?...sote ni watanzania... tafadhari msaada wenu, nami nifurahie juhudi zangu!!
Asanteni sana!
Mama na wadogo zangu wananitazama!
Eti! Jamani ninakosea wapi mwenzenu?...sote ni watanzania... tafadhari msaada wenu, nami nifurahie juhudi zangu!!
Asanteni sana!