Wenzangu huwa mnafanyaje hapa?

Wenzangu huwa mnafanyaje hapa?

Asante mkuu japo mdada mwenyewe ni mvumilivu.. Ila sababu simpend nitamtaftia sababu hapo hapo
Sasa kama himpendi kwanini unataka kumchukua ? Muache Binti wa watu ndoa si kitu rahc , usikae na mtu usiempenda
 
Asante mkuu mzabzab mimi sijampenda kwa kweli ila nataka kutimiza wajibu tu kuwa na mimi nilioa nikawa na watoto... ndio mana nataka nimtreat very rational akinishindwa ajikatae
Makubwa Sasa c utafute wa kuendana nae,, huyo utamtesa bure , sio type yako yaani umzalishe tu kutimiza tu wajibu af unatengeneza mazingira ya kuondoka mwenyewe, bila kujali hata watoto itakuaj
 
Poa mkuu asante sana kwa ushauri mzur...Ni zile pis sura ya baba so hainipi tabu ila inajielewa kwa baadhi ya mambo kwa kwl.. ila ngoja nimkazie hapo hapo..mana yy kafa kaoza
Ww sio baba bora, yaani unatumia upendo wake kama fimbo ya kumchapia, jaman wanawake ombeni sana Mungu akupe mume bora, mbona mapenz yapo tangu zamani?
 
Siku zote unashauriwa uoe mwanamke ANAEKUPENDA na sio UNAEMPENDA.

Kuhusu swala la simu hilo tatizo dogo tu nunua simu nyingine ya kuchati na michepuko uwe unaiacha ofisini.
Cjajua ww ni dino Gani , lakini biblia inasema enyi waume wapendeni Wake zeni ,na wake wawatii waume zao ww hiyo yakwako ya wapi?, Mwanaume ndio mwenye jukumu la kupenda kibiblia , utamuo usiempenda c utashindwa kuvumila makosa yake? Maana upendo huvumilia yote
 
Kabisa brother yani nahsi huko mbeleni atakuja kunifanyia mambo za ajab mana kuna Siku tulikua tunapiga story akaniambia ndo mana wanaume wanalogwa... eti mi namyanyasa
Kwa maneno yako tu inaonyesha kweli unamnyanyasa na utamnyanyasa sana coz ushajua kafa kaoza
 
33Yrs lakini akili Huna kabisa,unashindwa kabisa kujua utadeal Vipi na issue ndogo ya simu had Uje JF,ukigongewa si utaenda ITV

[emoji23] Jamaa ana akili ya mwanachuo wakat yuko early 30s
 
Cjajua ww ni dino Gani , lakini biblia inasema enyi waume wapendeni Wake zeni ,na wake wawatii waume zao ww hiyo yakwako ya wapi?, Mwanaume ndio mwenye jukumu la kupenda kibiblia , utamuo usiempenda c utashindwa kuvumila makosa yake? Maana upendo huvumilia yote
Upo sahihi kabisa. Kama lengo lako ni kuishi maisha ya UVUMILIVU, oa mwanamke unaempenda. Ila kama unataka KULA MBIVU, oa anaekupenda.
 
Mimi ni kijana wa makamo ambae nimefikia uamuzi wa kutafuta mwenzi wa kuoa niko 33. Nimepata dada anaenipenda sana ila kinachonitisha ni wivu.

Mfano suala la simu nilimuambia sitaki niione yake wala kujua anawasiliana na nani sasa yeye anagoma anasema et unaficha nn? Amesema ikiwa simu haitakua waz bas tuachane. Eti kashauriwa asimuache mwanaume free ataletewa wake wenza. Mimi najiuliza mtu kanijua ukubwani na busara zangu anakuta sina hata mtoto wa kusingiziwa kwa mtu.
Nimeamua tu kumpa nafas ila si kwa ajili ya chochote mana nimemzid kila kitu elimu n.k.

N.B. yeye yupo mkoani kuna kipindi alikuja hapa Dar tukakaa kama Siku nne ivi sasa simu nilikua nachaji usiku chumba kingine sasa yeye akawa anamind sana.

Tushafahamiana kwao na kwetu so ni anatakiwa aje next week sogea tukae..

Naombeni experience zenu wakuu
Kaka mdogo hivi unawezaje kusema flani anakupenda?
 
Kaka mdogo hivi unawezaje kusema flani anakupenda?
Boss vipo viashiria mfano huyu wangu... nina hadi Password za simu yake ... she teils me her each and everything.... Hata kama atanicheat au ananicheat nina uhakika she is there atakua amepitiwa bahat mbaya tu
 
Upo sahihi kabisa. Kama lengo lako ni kuishi maisha ya UVUMILIVU, oa mwanamke unaempenda. Ila kama unataka KULA MBIVU, oa anaekupenda.
Surely nipo nae na naenjoy sana kwa sasa as a man ananitii sana narud saa 8 she wake up anipashie chakula im drunk she do everything ambazo hizi bachelor women could never do
 
[emoji23] Jamaa ana akili ya mwanachuo wakat yuko early 30s
Mmmh but ni issue ndogo tu sana... keep calm nipo hapa since 2012... niko matured sana sometimes hili ni jukwaa la kujiachia ndio mana huez weka publicity, i can assure you i had Made my decision by 100% though by coming here its only a way for further studyings to add for either or neither into published results
 
Poa, maana nshasahau hata maada ilikuwa inaongelewa nini hapa.. good luck
 
Back
Top Bottom