Wenzangu huwa mnafanyaje hapa?

Wenzangu huwa mnafanyaje hapa?

Acha ujinga wewe
Huu upumbavu unaomfanyia bint wa watu utakuja kujuta we ni mtu mzima kabsaaa miaka 33 ni mingi sana ungetakiwa uwe na watoto wawili

Inaonesha una makando kando ndiyo maana unaficha simu mpe akague moyo wake uridhike vinginevyo hawez kukuamin na ukimuoa lazima akupige tukio

Acha utoto bora usioe kuliko kufanya huo ujinga unaomfanyia mtoto wa watu

Lazima ujute mzee endelea na umalaya wako
Heri umwambie
 
Blaza mwanamke bora anaejitambua kamwe hawez kumwambia Mwanaume "basi tuachane" mimi mke wangu akija kuniambia neno hilo siku hiyohiyo namuacha simpi hata sekunde ya kuomba msamaha...
Wivu ni jambo la kawaida ila kauli kama hiyo haina tofaut na mtu akuambie "nitakuua"
Kabisa brother yani nahsi huko mbeleni atakuja kunifanyia mambo za ajab mana kuna Siku tulikua tunapiga story akaniambia ndo mana wanaume wanalogwa... eti mi namyanyasa
 
Ni vizuri Sana kufanya hivyo,Ila mtafute ambaye utampenda kwa dhati na umchunguze na kujiaminisha kuwa anakupenda kwa dhati yaani wote WAWILI muwe Upendo wa dhati ndio sababu ya kufunga kwenu ndoa.upande wako kusiwe na sababu wala upande wake kusiwe na sababu nyingine ya kutaka ndoa zaidi ya upendo wa dhati tu.
Hivi viiwanawake ukivipenda ni stress tu kk kaa navyo kwa akili ata km hujakapenda ili wewe ukaendeshe unless otherwise unatafuta kuja kuua kwa risas
 
Achana nae huyo ana utoto mwingi. Simu sio kitu cha kukufanya uanze kuleta ultimatums
Mzabzab bado sipo sawa mana uyu demu ni 29 sema hajielewi tu.... kisa ela nyingi za kwake nimetumia anahsi labda mm ni Mario kumbe ni nisietaka mambo mengi...
nataka nimrudishie zote mana ninazo
 
Mzabzab bado sipo sawa mana uyu demu ni 29 sema hajielewi tu.... kisa ela nyingi za kwake nimetumia anahsi labda mm ni Mario kumbe ni nisietaka mambo mengi...
nataka nimrudishie zote mana ninazo
Mbwage mwanawane usije ukapata kesi bure
 
Siwapendi watu wa ivo mimi Mungu tu aniepushe,mi sinaga wivu hata achati na ex wake sinaga time na simu ya mwanamke mimi nami sitaki ashike simu yangu kuanza kukagua kagua,

Nachati na watu wengi jinsia tofauti nina privacy zangu tumejuana ukubwani na meno 32 kuanza kuleteana utoto wa nini

Ntampa password ila sio kuishika simu bila mimi kutaka na kwa dk
 
Mzabzab bado sipo sawa mana uyu demu ni 29 sema hajielewi tu.... kisa ela nyingi za kwake nimetumia anahsi labda mm ni Mario kumbe ni nisietaka mambo mengi...
nataka nimrudishie zote mana ninazo
Mrudishie sasa pesa zake
 
Aisee🙄
​
Mzabzab bado sipo sawa mana uyu demu ni 29 sema hajielewi tu.... kisa ela nyingi za kwake nimetumia anahsi labda mm ni Mario kumbe ni nisietaka mambo mengi...
nataka nimrudishie zote mana ninazo
 
Mimi ni kijana wa makamo ambae nimefikia uamuzi wa kutafuta mwenzi wa kuoa niko 33. Nimepata dada anaenipenda sana ila kinachonitisha ni wivu.

Mfano suala la simu nilimuambia sitaki niione yake wala kujua anawasiliana na nani sasa yeye anagoma anasema et unaficha nn? Amesema ikiwa simu haitakua waz bas tuachane. Eti kashauriwa asimuache mwanaume free ataletewa wake wenza. Mimi najiuliza mtu kanijua ukubwani na busara zangu anakuta sina hata mtoto wa kusingiziwa kwa mtu.
Nimeamua tu kumpa nafas ila si kwa ajili ya chochote mana nimemzid kila kitu elimu n.k.

N.B. yeye yupo mkoani kuna kipindi alikuja hapa Dar tukakaa kama Siku nne ivi sasa simu nilikua nachaji usiku chumba kingine sasa yeye akawa anamind sana.

Tushafahamiana kwao na kwetu so ni anatakiwa aje next week sogea tukae..

Naombeni experience zenu wakuu
Tatizo lugha unayo tumia nayo sio, umeamua kumpa nafasi kwani alikutafuta yeye
 
Blaza mwanamke bora anaejitambua kamwe hawez kumwambia Mwanaume "basi tuachane" mimi mke wangu akija kuniambia neno hilo siku hiyohiyo namuacha simpi hata sekunde ya kuomba msamaha...
Wivu ni jambo la kawaida ila kauli kama hiyo haina tofaut na mtu akuambie "nitakuua"
Ushauri mkubwa huu akiufanyia kazi atafurahia maisha
 
Mzabzab bado sipo sawa mana uyu demu ni 29 sema hajielewi tu.... kisa ela nyingi za kwake nimetumia anahsi labda mm ni Mario kumbe ni nisietaka mambo mengi...
nataka nimrudishie zote mana ninazo
Mwambie mzazi wako hasa mama akupendekezee mwanamke wa kuoa, utakuja kunishukuru baadae
 
Back
Top Bottom