Pagani Zonda
JF-Expert Member
- Aug 10, 2018
- 702
- 491
Bado hujakua, ukikua utaachaMmmh siishi ivyo boss wangu bt vyumba vipo vya kutosha ndio mana niliipeleka cm chumba kingine
Bado hujakua, ukikua utaachaMmmh siishi ivyo boss wangu bt vyumba vipo vya kutosha ndio mana niliipeleka cm chumba kingine
Mimi ni kijana wa makamo ambae nimefikia uamuz wa kutafuta mwenzi wa kuoa niko 33. Nimepata dada anaenipenda sana ila kinachonitisha ni wivu.
Mfano suala la simu nilimuambia sitaki niione yake wala kujua anawasiliana na nani sasa yeye anagoma anasema et unaficha nn? Amesema ikiwa simu haitakua waz bas tuachane.
N.b. yeye yupo mkoani kuna kipindi alikuja hapa Dar tukakaa kama Siku nne ivi sasa simu nilikua nachaji usiku chumba kingine sasa yeye akawa anamind sana.
Tushafahamiana kwao na kwetu so ni anatakiwa aje next week sogea tukae..
Naombeni experience zenu wakuu
Huoni kama huyo dada anakupenda? Yeye kukupenda wewe isiwe sababu ya wewe kumuumiza. Lakini pia kuonyesha waziwazi kwamba kuna jambo unalificha tena mbele ya mwanamke wako huoni kama hilo ni kosa? Unamuandaa vipi kipsychologia huyu binti?Si wanasema uoe anaekupenda sio unaempendaà?
Yaani ana utoto mwingi huyuWewe ni chizi !! Kama bado una mambo yako Acha kumpotezea muda Mtoto wa watu vp yeye ndo angekua anaficha mzee
Kumbe humpendi unakuja kutusumbua hapa? Jinga sana sasa unzunguka nini? Mara simu mara nini kumbe humpendi? BureeeAsante mkuu japo mdada mwenyewe ni mvumilivu.. Ila sababu simpend nitamtaftia sababu hapo hapo
Ata kama simpend ila nishampa Shida yani hadi kaz kaacha aje so sina namna nitajifunza kumpenda ndani huko huko ila akizingua mwenyewe fresh 2Kumbe humpendi unakuja kutusumbua hapa? Jinga sana sasa unzunguka nini? Mara simu mara nini kumbe humpendi? Bureee
Mimi ni kijana wa makamo ambae nimefikia uamuz wa kutafuta mwenzi wa kuoa niko 33. Nimepata dada anaenipenda sana ila kinachonitisha ni wivu.
Mfano suala la simu nilimuambia sitaki niione yake wala kujua anawasiliana na nani sasa yeye anagoma anasema et unaficha nn? Amesema ikiwa simu haitakua waz bas tuachane.
N.b. yeye yupo mkoani kuna kipindi alikuja hapa Dar tukakaa kama Siku nne ivi sasa simu nilikua nachaji usiku chumba kingine sasa yeye akawa anamind sana.
Tushafahamiana kwao na kwetu so ni anatakiwa aje next week sogea tukae..
Naombeni experience zenu wakuu
We ni jinga la kwanza mkuu,sio jinga la mwishoKama kuna kula kimasihara ata kuoa kimasihara kupo ova.. sema mnanikazia as if mimi ndo jinga la mwisho humu. Anyway siombi tena mawazo humu
Ko ulitaka tukusapoti ujinga wako?Kama kuna kula kimasihara ata kuoa kimasihara kupo ova.. sema mnanikazia as if mimi ndo jinga la mwisho humu. Anyway siombi tena mawazo humu
Acha ujinga weweKama kuna kula kimasihara ata kuoa kimasihara kupo ova.. sema mnanikazia as if mimi ndo jinga la mwisho humu. Anyway siombi tena mawazo humu
Ni vizuri Sana kufanya hivyo,Ila mtafute ambaye utampenda kwa dhati na umchunguze na kujiaminisha kuwa anakupenda kwa dhati yaani wote WAWILI muwe Upendo wa dhati ndio sababu ya kufunga kwenu ndoa.upande wako kusiwe na sababu wala upande wake kusiwe na sababu nyingine ya kutaka ndoa zaidi ya upendo wa dhati tu.Duh ila bro ila nalo neno, japo nipo dilemma, naona umri kama unaniacha ivi na nataman kua na msimamo wa familia
Jehovah Jireh!!🤔🤔Poa mkuu asante sana kwa ushauri mzur...Ni zile pis sura ya baba so hainipi tabu ila inajielewa kwa baadhi ya mambo kwa kwl.. ila ngoja nimkazie hapo hapo..mana yy kafa kaoza
Daaah I can't imagine mtu anaacha kazi kwa mapenzi ya dhati akijua amamfuata Adam wake, kumbe mtu mwenyewe hana hata nia anamng'ong'a tu!! Namuonea huruma sana huyo dada!Ata kama simpend ila nishampa Shida yani hadi kaz kaacha aje so sina namna nitajifunza kumpenda ndani huko huko ila akizingua mwenyewe fresh 2