Duh ila bro ila nalo neno, japo nipo dilemma, naona umri kama unaniacha ivi na nataman kua na msimamo wa familiaKama humpendi USIOE wala USIOLEWE naye
Kama bado unapenda kutoka na wasichana/ama wanaume tofautitofauti USIOE wala USIOLEWE
NDOA NI KIFUNGO mnajifunga PINGU za MAISHA
NDOA NI KIUNGANISHI CHA NYINYI WAWILI KUWA KITU KIMOJA
Ukioa ama kuolewa na wakati huo uko na hayo mambo MTATESEKA
Kaka yafanyie kazi maneno haya ukiyapuuza yatasababisha mengi msiyoyatarajia kwako na kwake na yatazaa mambo mengi mabaya
MTATESEKA SANA na hamtakuwa na FURAHA ya hiyo kitu inayoitwa NDOA.
NDOA ni kuamua kuacha yote na kuivaa nafasi ya mwenza.
Usije ukajuta na kupata tabu kama sisi tuliokutangulia.
Hayo maswala ni mid 20 mkuu mshavuka 30mnagombaniana simu? Ila mkuu fimbo ya mbali haiuwi nyokaUtoto kivipi tena mkuu pilato93?
Asante mkuu mzabzab mimi sijampenda kwa kweli ila nataka kutimiza wajibu tu kuwa na mimi nilioa nikawa na watoto... ndio mana nataka nimtreat very rational akinishindwa ajikatae
Siku zote unashauriwa uoe mwanamke ANAEKUPENDA na sio UNAEMPENDA.Duh ila bro ila nalo neno, japo nipo dilemma, naona umri kama unaniacha ivi na nataman kua na msimamo wa familia
Mi ata nikigongewa mke simuachi... nitasamehe sema niwe tyr nishapata ata watt wa2... Mi ninavyojua kutaka mawazo sio dhambi mkuu.. Bt Huyu kakaza na mm hua najua mkianza kuchunguzana sana hamfiki mbali boss33Yrs lakini akili Huna kabisa,unashindwa kabisa kujua utadeal Vipi na issue ndogo ya simu had Uje JF,ukigongewa si utaenda ITV
Hicho kitu ndicho kinasababisha vifo vya hivi karibuni. SIMU,SIMU ,SIMU mpe Onyo na kama Hataki basi anautoto bado.Sasa mkuu hapo ndio anagoma kabisaa... Ananipa mifano ya wengne mm namuambia hilo kwangu hapana.. analazimisha tuu
Hapo umenena mkuu, Hawa wadada wa Siku iz wanataka wao ndio wasikilizwe tu.. mana ata kauli zake mda mwingi ni za kunihisi mm mhuni tu wakat sio kweli na in short amepoteza kujiamini kabsaaHicho kitu ndicho kinasababisha vifo vya hivi karibuni. SIMU,SIMU ,SIMU mpe Onyo na kama Hataki basi anautoto bado.
Kutogusa simu si kwamba unaficha kitu bali hutaki tafsiri mbaya pale atakapokuta call za Jinsia yake au sms
Wanawake ni Wajanja Ndugu yangu. Anaweza kuwa anakuwekea mazingira ya Wewe umwamini kwamba Yeye hawezi Kucheat kwa Kukuonyesha Vitu kama Hivyo anavyoonyesha sasa hivi ili siku akienda Huko kucheat usiamini kama anaweza Kucheat. Hasa Ukiwa hujui background yake vizuriHapo umenena mkuu, Hawa wadada wa Siku iz wanataka wao ndio wasikilizwe tu.. mana ata kauli zake mda mwingi ni za kunihisi mm mhuni tu wakat sio kweli na in short amepoteza kujiamini kabsaa
Kumbe matatizo yanaanzia kwako.Asante mkuu mzabzab mimi sijampenda kwa kweli ila nataka kutimiza wajibu tu kuwa na mimi nilioa nikawa na watoto... ndio mana nataka nimtreat very rational akinishindwa ajikatae
Mimi ni kijana wa makamo ambae nimefikia uamuz wa kutafuta mwenzi wa kuoa niko 33. Nimepata dada anaenipenda sana ila kinachonitisha ni wivu.
Mfano suala la simu nilimuambia sitaki niione yake wala kujua anawasiliana na nani sasa yeye anagoma anasema et unaficha nn? Amesema ikiwa simu haitakua waz bas tuachane.
N.b. yeye yupo mkoani kuna kipindi alikuja hapa Dar tukakaa kama Siku nne ivi sasa simu nilikua nachaji usiku chumba kingine sasa yeye akawa anamind sana.
Tushafahamiana kwao na kwetu so ni anatakiwa aje next week sogea tukae..
Naombeni experience zenu wakuu
Sasa kama hujampenda, kimbelembele cha kuwa naye hadi saa hii ni nini hapo?Asante mkuu mzabzab mimi sijampenda kwa kweli ila nataka kutimiza wajibu tu kuwa na mimi nilioa nikawa na watoto... ndio mana nataka nimtreat very rational akinishindwa ajikatae
Bado hujakua, ukikua utaachaMmmh siishi ivyo boss wangu bt vyumba vipo vya kutosha ndio mana niliipeleka cm chumba kingine