Wenza wa vigogo kulipwa mafao

Wenza wa vigogo kulipwa mafao

Barikiwa sana mtumishi! sema acha walipwe tu sasa tutafanyaje.Binafsi nlipendekeza kila mtu afundishwe matumizi sahihi ya Ak47 na awe na umiliki pia lakini naona watanzania hawako tayari,basi tuishi tu
Tukajifunze sasa kutengeneza drones huko Ukraine, hakuna njia nyingine ya kupambana na hawa WALAFI
 
Hakika inasikitisha sana na inaumiza sana kuona watumishi wa umma na wazee wastaafu wakiendelea kulipwa mafao kiduchu huku wenza wa vigogo wakiandaliwa sheria ya wao pia kulipwa mafao kama waume/wake zao wanapostaafu.

Mafao ya hao vigogo ambao ni rais, makamu wa rais na waziri mkuu wanapo staafu tayari ni makubwa sana lakini bado serikali inataka na wenza wao nao walipwe.

Japo sina uhakika kuna tetesi kuwa wazee wa mjengoni tayari wameongezewa ulaji kimya kimya huku watumishi wa umma wakisota na wazee wetu wastaafu wakiendelea kulipwa pensheni zisizokithi hata mshahara wa house girl licha ya kuitumikia nchi hii kwa uadilifi mkubwa.

Ombi kwa serikali
Pamoja na mabadiliko ya sheria inayotaka kuyafanya ili wenza wa vigogo walipwe mafao ni vema mabadiliko hayo yakawahusu watumishi wa umma na wazee wetu wastaafu kinyume chake huu utakuwa upendeleo wa wazi kwa kundi la vigogo.

Tanzania ni yetu sote.
View attachment 2743744
Waongeze tu hadi kwa watoto,wajukuu na vitukuu.
 
Ni mswaada wa kijinga sn na ubaguzi kwa watumishi wengine
 
Huu ni ushenzi, yaani pesa zetu sisi zikalipe wahuni ambao hawakuchangia mafao?

Bunge Kataeni huu ushenzi
Mi sijui Samia anawaza nini kwenye kichwa chake sababu haiingii akilini asilani kuwa mtu akiwa mwenza wa rais, wazir mkuu, n.k basi ndiyo walipa kodi tubebeshwe zigo la kuwahudumia hata kwa vitu ambavyo si haki, ilhal kuna watz kibao wanasotea haki zao za msingi kabisa kama mafao na hawapati inavyostahili why mtu hakuchangia mfuko wowote wa pensheni lakini anawanyonya wenginen hii sio sawa wanaomchukia huyu mama na wamchukie tu nchi ipo kwenye shida kubwa ya kiuchumi kiasi cha mafuta kukosekana na ndiyo kwanza walipa kodi wanaongezewa zigo lingine lisilo la haki😬
 
Hakika inasikitisha sana na inaumiza sana kuona watumishi wa umma na wazee wastaafu wakiendelea kulipwa mafao kiduchu huku wenza wa vigogo wakiandaliwa sheria ya wao pia kulipwa mafao kama waume/wake zao wanapostaafu.

Mafao ya hao vigogo ambao ni rais, makamu wa rais na waziri mkuu wanapo staafu tayari ni makubwa sana lakini bado serikali inataka na wenza wao nao walipwe.

Japo sina uhakika kuna tetesi kuwa wazee wa mjengoni tayari wameongezewa ulaji kimya kimya huku watumishi wa umma wakisota na wazee wetu wastaafu wakiendelea kulipwa pensheni zisizokithi hata mshahara wa house girl licha ya kuitumikia nchi hii kwa uadilifi mkubwa.

Ombi kwa serikali
Pamoja na mabadiliko ya sheria inayotaka kuyafanya ili wenza wa vigogo walipwe mafao ni vema mabadiliko hayo yakawahusu watumishi wa umma na wazee wetu wastaafu kinyume chake huu utakuwa upendeleo wa wazi kwa kundi la vigogo.

Tanzania ni yetu sote.
View attachment 2743744
Ccm imeshachoka na imefika mwisho wa kufikiri , mbona hamuelewi ?...
 
Ni wakati sasa tutoe hadharani hisia zetu kwa vitendo vinavyopeleka ujumbe makhususi kwa wahusika.
 
Hakika inasikitisha sana na inaumiza sana kuona watumishi wa umma na wazee wastaafu wakiendelea kulipwa mafao kiduchu huku wenza wa vigogo wakiandaliwa sheria ya wao pia kulipwa mafao kama waume/wake zao wanapostaafu.

Mafao ya hao vigogo ambao ni rais, makamu wa rais na waziri mkuu wanapo staafu tayari ni makubwa sana lakini bado serikali inataka na wenza wao nao walipwe.

Japo sina uhakika kuna tetesi kuwa wazee wa mjengoni tayari wameongezewa ulaji kimya kimya huku watumishi wa umma wakisota na wazee wetu wastaafu wakiendelea kulipwa pensheni zisizokithi hata mshahara wa house girl licha ya kuitumikia nchi hii kwa uadilifi mkubwa.

Ombi kwa serikali
Pamoja na mabadiliko ya sheria inayotaka kuyafanya ili wenza wa vigogo walipwe mafao ni vema mabadiliko hayo yakawahusu watumishi wa umma na wazee wetu wastaafu kinyume chake huu utakuwa upendeleo wa wazi kwa kundi la vigogo.

Tanzania ni yetu sote.
View attachment 2743744
Hii nchi ni ya kiqumer sana. Sijawahi kuona nchi ya kizezeta kama hii hapa ulimwenguni.
 
Back
Top Bottom